Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WANANCHI WATAKIWA KUHESHIMU MIUNDOMBINU YA ANWANI ZA MAKAZI

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi wa huduma za Mawasiliano, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mulembwa Munaku ,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kufungwa kwa  program ya zungumza  na Dkt. Samia ambayo ina lengo la kutoa Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanachama wa wanawake na Uchumi wa viwanda (WAUVI) leo Mei 30,2023 jijini Dodoma.

 Naibu Waziri wa kilimo na Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde,akipata maelezo kwa Mtaalum wa mfumo wa Anwani za Makazi Bw.Innocent Jacob kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kwenye banda la  Wizara hiyo  wakati wa Maonyesho ya Program ya zungumza na Dkt. Samia ambayo ina lengo la kutoa Mafunzo ya ujasiriamali  kwa wanachama wa wanawake na Uchumi wa viwanda (WAUVI) leo Mei 30,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa kilimo na Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde,akipata maelezo  kutoka kwa Mratibu wa Kitaifa wa Mfumo wa Anwani za Makazi kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kwenye banda la  Wizara hiyo  wakati wa Maonyesho ya Program ya zungumza na Dkt. Samia ambayo ina lengo la kutoa Mafunzo ya ujasiriamali  kwa wanachama wa wanawake na Uchumi wa viwanda (WAUVI) leo Mei 30,2023 jijini Dodoma.

Na Dotto Kwilasa, DODOMA.

Mkurugenzi wa huduma za Mawasiliano, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mulembwa Munaku amewataka wananchi kuheshimu miundombinu ya mfumo wa anwani za makazi ili kurahisisha huduma za kijamii na kuchochea uchumi.

Bw.Munaku amesema hayo leo Mei 30,2023 Jijini Dodoma kwenye mafunzo ya wajasiriamali kwa wanachama wa wanawake na uchumi na kuongeza kuwa suala la taarifa za anwani za makazi linakuwa la msingi wakati wa kutoa na kupokea huduma bidhaa kwa kujumuisha mifumo ya kielekroniki.

Akizungumza kwenye mafunzo hayo ambayo pia yamejumuisha namna mfumo wa kidigitali wa anwani za makazi (NaPA)unavyofanya kazi, Bw.Munaku amesema huwezi kutofautisha
suala la amwani za makazi na wafanyabiasha kwa kuwa maendeleo ya biashara yanatokana na biashara mtandao.

“Jumla ya anuani milioni 12 zimesajiliwa nchi nzima,kupitia simu ya mkononi mwananchi anaweza kutambua anuani yake ya makazi,hata hivyo bado kuna changamoto zilizopo za uharibifu wa miundombinu wa makusudi nitoe wito acheni tabia hiyo,”amesisitiza na kuongeza;

Kila mtu anawajibika kulinda alama zote za mfumo huu, makazi ya watu yanapewa namba ili kutambulika na kufikiwa kwa urahisi Sasa unapoharibu Kwa makusudi unakwamisha maendeleo ya watu Kwa kuwa sehemu zao hazitatambulika,”Anasema.

Pamoja na hayo Munaku amezitaja faida za mfumo wa anuani za makazi kuwa ni pamoja na kurahisisha kufikiwa kwa maeneo mengi kwa ajili ya huduma mbalimbali ikiwemo biashara na
kuwezesha kupanga na kusimamia mipango mahsusi ya kutoa huduma kwa wananchi.

Munaku amesema miundombinu hiyo ikitunzwa na kuheshimiwa itarahisisha utoaji wa huduma za dharura kama vile uokoaji na kukabiliana na maafa ikiwa ni pamoja na kuongeza ufanisi katika usimamizi wa makazi ya watu.

“Tupo hapa Kwa ajili ya kuwaelimisha wafanyabiashara umuhimu wa anuani za makazi,wanatakiwa kujua ni muhimu kujisajili na kuraaimisha makazi yao ili kurahisisha mawasiliano kati ya Serikali na wananchi kwa makusudi mbali mbali,”amesema

Amefafanua kuwa miundombinu ya anuani za makazi pia inasaidia kuimarisha utawala bora na kuigusa jamii moja Kwa Moja katika afya,elimu na biashara.

About the author

Alex Sonna