Featured Kitaifa

PICHA: RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023.

About the author

mzalendoeditor