Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

milanobet

milanobet

pokerklas

pokerklas

Featured Kitaifa

HISTORIA YAANDIKWA SEKTA YA NYUMBA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (SMT) Dkt. Angelline Mabula akiongoza hafla ya utiaji saini makubaliano baina ya Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi za Tanzania (SMT) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ) leo (Mei 20, 2023) jijini Dodoma.
IMG-20230520-WA0204.jpg
Makatibu Wakuu wa Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi za Tanzania (SMT), Mhandisi, Anthony Sanga na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ), Dkt. Mngereza Mzee Miraji wakitiliana saini makubaliano baina ya Wizara mbili hizo za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMG-20230520-WA0112.jpg
Hafla ya Utiaji saini baina ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano za Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi za Tanzania (SMT) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ).
IMG_20230520_164344_276.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamad Abdallah Hamad na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ally Saidi wakipeana mikono baada ya kutiliana saini makubaliano hayo katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi za Tanzania (SMT) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ) leo (Mei 20, 2023) zimetiliana saini hati za Makubaliano yatakayoziwezesha Wizara hizo zisizokuwa za Muungano kutatua changamoto zinazozikabili katika kuwahudumia wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa SMT, Dkt. Angelline Mabula akizungumza katika hafla hiyo ya makubaliano Jijini Dodoma amesema kuwa sekta ya ardhi ya nyumba ni sekta ambayo ni muhimu katika kuwaletea wananchi maisha bora.

“Hatuwezi kuwa na maisha bora kama mipango yetu haijakaa vizuri na hatuwezi kuwa na maisha bora kama watu wetu wana migogoro. Hatuwezi kuwa na maisha bora kama hatuwezi kutoa fursa kwa wawekezaji kuja kuwekeza na pia hatuwezi kama Wizara na sekta zingine zinazotutegemea  sisi tutashindwa kufanya kazi hiyo. Kwa hiyo tuna imani tutajifunza kutoka pande zote mbili, tuweze kuona tutafanyaje,’amesema.

Amesema Wizara ina imani kuwa Zanzibar kuna mazuri waliyoyafanya na Zanzibar watajifunza kwa yaliyofanyika bara yatakayoboresha namna ya kuwahudumia wananchi wa pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati huo huo  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ), Rahma Kassim Ali amesema kuwa makubaliano waliyoyaingia baina yao ni vyema ukawekwa mpango kazi na kwamba kasoro yoyote ikijitokeza wakae watatue kwasababu lengo ni kuleta mafanikio.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Hamad Abdallah amesema kwa Shirika sasa ni utekelezaji kama ilivyozungumza Waziri na kwamba tayari Shirika limeshachukua baadhi ya mambo mazuri yanayofanywa na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) kama vile upangishaji wa muda mrefu wa hadi miaka 30 ambayo utekelezaji wake umeaanza kwa kuwekwa katika maandiko tayari kwa utekelezaji.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar, Mwanaisha Ally Saidi amesema kuwa katika makubaliano hayo wamekubaliana mambo mengi, lakini kubwa ni kubadilishana wataalamu hasa upande wa Zanzibar hawana baadhi ya Wataalamu kwa kuwa NHC lilianza muda mrefu na lina uzoefu mkubwa.

Kwa Upande wa ngazi ya Wizara Makatibu Wakuu wa Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi za Tanzania (SMT), Mhandisi, Anthony Sanga na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi (SMZ), Dkt. Mngereza Mzee Miraji walitiliana saini makubaliano baina ya Wizara mbili hizo za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwenye ngazi ya Mashirika, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah Hamad na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar  Mwanaisha Ally Saidi wametiliana saini mkataba huo katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

Kuhusu Makubaliano hayo mapya ya ushirikiano yatakayodumu kwa miaka kumi kuanzia tarehe yaliyosainiwa yatawezesha taasisi hizo kuweka mipango ya kubadilishana mawazo na ujuzi na kuweza kuwasaidia kwa kiasi kikubwa Watanzania wengi, hususani vijana katika kupata ujuzi wa kuutumia kwenye kuongeza tija kwenye sekta ya ujenzi nchini.

Eneo jingine ambalo ni muhimu katika mustakabali wa taasisi hizi ni rasilimali watu na mbinu bora  ili kuwezesha kuhamisha utaalamu, ujuzi na kujengeana uwezo kwa faida ya pande zote mbili hivyo kuwaongezea umahiri pamoja na maarifa zaidi na utamaduni wa  mazingira ya kazi husika

Makubaliano hayo pia yataziwezesha taasisi hizo mbili kuainisha fursa za mafunzo na kushirikiana kupeana nyenzo za mafunzo na kubadilishana taarifa muhimu zinazohusu uendeshaji wa mashirika yao bila kuathiri sera zinazolinda usiri wa taasisi hizo.

Katika makubaliano hayo, wataalamu wa maendeleo ya biashara na utafiti wa Shirika la Nyumba  la Zanzibar watafaidika kupatiwa mafunzo kwa mujibu wa taaluma zao kutoka Shirika la Nyumba la Taifa.

Ushirikiano wa Shirika la Nyumba la Taifa na Shirika la Nyumba la Zanzibar upo kwa muda mrefu lakini Mkataba mpya wa ushiririkiano wa sasa utatoa fursa  kubwa zaidi kuhakikisha Maendeleo ya pande zote mbili yaliyofikiwa na Mashirika hayo yanawanufaisha wananchi wa pande zote mbili za Muungano.

Mashirika la NHC na ZHC yamesainiana mkataba huo baada ya kutambua mahitaji ya kuongeza mashirikiano kati yao yenye lengo la kustawisha mabadilishano ya ujuzi na welewa mpana kati ya pande mbili hizo na kufikia malengo yao kwa haraka na tija.

About the author

Alex Sonna