Featured Michezo

ELFU TANO YAMPATIA TZS 20,000,000/=KWA KUCHEZA KASINO 

Written by mzalendoeditor

­­­­­Sloti ya Piggy Party inayopatikana kasino ya mtandaoni Meridianbet imetosha kumpatia utajiri kijana mmoja ambaye hajataka jina lake kutajwa. Hii ni baada ya kushinda milioni Tsh 20,000,000/= kwa dau la 5,000/=

Kutoka uswahilini Temeke Mtoni kwa Aziz Ali, Meridianbet imempata milionea aliyecheza kasino ya mtandaoni kwa dau dogo tulililompeleka kwenye Jackpot kabambe ya ushindi.

Mwamba anasema kwamba ameifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa muda wa miaka 4 naamekuwa akicheza sana sloti na michezo mingi, moja kati ya michezo aliyocheza na kumpa utajirini Piggy Party.

“Nimeifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa miaka 4, na kila nikicheza nilikuwa nashinda pesa ndogo kuanzia Laki Moja lakini hatimaye bahati imenidondokea mimi kwa kushinda TZS Milioni 20,000,000/=Mshindi kutoka Kwa Aziz Ali.

Meridianbet kasino ya mtandaoni ina michezo/ sloti mingi ya ushindi na kila siku washindi wengi wanatangazwa, kama hujashinda leo basi endelea kucheza mara kwa mara huenda nawe kesho ukawa Milionea.

 

Kubwa kulikoni kwamba kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

 

NB: Slotiya Piggy Party ina mistari 11 ya ushindi, kuna chaguo la Gamble kuongeza ushindi wako kama unahitaji, kubwa Zaidi kila unapocheza unaingia kwenye Jackpot ambayo inatoa mamilioni ya hela.

About the author

mzalendoeditor