Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

casinomaxi

casinomaxi giriş

betturkey giriş

betturkey

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

jojobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

matbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

tipobet

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

kulisbet, kulisbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

sweet bonanza siteleri

Canada Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

sweet bonanza

jojobet giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

pusulabet

marsbahis

jojobet

matbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

Bet365 Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

tarafbet

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

caddebet, caddebet giriş

meritbet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

monobahis, monobahis giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

ligobet

jojobet

https://sjconsultors.com/

lunabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

Pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

jojobet

Deneme Bonusu VDS Kiralama

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

mobilbahis

mobilbahis giriş

extrabet giriş

imajbet

dental implants turkey

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

jojobet giriş

süratbet

holiganbet

grandpashabet

mavibet

lunabet

lunabet giriş

kingroyal

izmit escort

bets10

bets10 giriş

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AZINDUA HOTELI YA KITALII NGORONGORO

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Hoteli ya kisasa ya hadhi ya nyota tano ya Ngorongoro O’ldeani Mountain Lodge yenye uwekezaji wa shilingi bilioni 12 iliopo Karatu mkoani Arusha inayomilikiwa na kundi la Wellworth Hotel and Lodges.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi pamoja na wamiliki wa hoteli ya kisasa ya hadhi ya nyota tano ya Ngorongoro O’ldeani Mountain Lodge mara baada ya kufungua hoteli hiyo yenye uwekezaji wa shilingi bilioni 12 iliopo Karatu mkoani Arusha inayomilikiwa na kundi la Wellworth Hotel and Lodges ambayo ni kampuni ya watanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 16 Mei 2023 akiwa ziarani Mkoani Arusha amefungua rasmi  Hospitali ya Wilaya ya Karatu iliogharimu shilingi bilioni 3.37.

Akihutubia mara baada ya kufungua hospitali hiyo, Makamu wa Rais amesema serikali itaendelea kuhakikisha huduma bora za afya zinasogezwa Jirani na wananchi pamoja na kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika  kila vituo vya kutolea huduma za afya. Ameagiza uongozi wa Wilaya na hospitali kusimamia kwa uaminifu dawa zinazoletwa na serikali kwa ajili ya matumizi ya wananchi ambapo kinyume na hapo serikali itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya kiongozi yeyote atakayebainika kukiuka sheria na miongozo iliyotolewa na serikali ya uendeshaji wa maduka ya dawa ya hospitali. 

Makamu wa Rais amesema  hospitali hiyo inalenga pia kusaidia watalii  kuwa na uhakika wa kupata huduma ya kwanza na ya dharura kwa haraka katika mazingira salama pale itakapo hitajika. Pia ametoa  wito kwa wananchi wa Karatu kutunza hospitali hiyo ili iweze kusaidia wananchi kwa miaka mingi ijayo.

 

Vilevile Makamu wa Rais ametoa wito kwa madaktari na wahudumu wa afya katika hospitali hiyo, kuwahudumia wananchi kwa upendo na uadilifu. Amesema Serikali itaendelea kuhakikisha vitendea kazi vinapatikana ili majengo yote yaanze kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. Pia ametoa wito kwa wananchi, kushirikiana na uongozi wa Wilaya ili kuleta maendeleo katika Wilaya hiyo na kuagiza viongozi katika ngazi ya vijiji na kata kuendelea kuimarisha kamati za afya za vijiji na kata ili zisaidie kuhamasisha afya ya wananchi.

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amefungua Hoteli ya kisasa ya hadhi ya nyota tano ya Ngorongoro O’ldeani Mountain Lodge yenye uwekezaji wa shilingi bilioni 12 iliopo Karatu mkoani Arusha inayomilikiwa na kundi la Wellworth Hotel and Lodges ambayo ni kampuni watanzania.

Makamu wa Rais amewapongeza wamiliki wa Hoteli hiyo kwa kuunga mkono juhudi za serikali za kuimarisha utalii kwa kujenga miundombinu ya hoteli katika eneo la Karatu lenye idadi kubwa ya watalii. Pia amewapongeza wamiliki wa hoteli hiyo kwa kutoa ajira kwa watanzania na kuwajali kwa kutambua mchango wao katika maendeleo ya hoteli hiyo.

Pia amewaasa vijana wanaopata nafasi kufanya kazi katika hoteli za kitalii kuendelea kuwa waaminifu na mfano katika jamii kwa kuwa waadilifu na wachapakazi kila wanapopata fursa.

Aidha ametoa wito kwa wadau hao wa utalii kuendelea kushirikiana na jamii ikiwemo kuwasaidia wafugaji kuhakikisha wanafanya ufugaji wenye tija katika maeneo yao.

Makamu wa Rais anaendelea na ziara ya kikazi mkoani Arusha yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza changamoto za wananchi.

About the author

Alex Sonna