Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

poker

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

madridbet giriş

meritking

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

meritking giriş

bets10

casibom güncel giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet

meritking

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pusulabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino sites

Hacklink Panel

radissonbet

vdcasino

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

cratosroyalbet

jojobet güncel giriş

meritking giriş

cratosroyalbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

tarafbet

kingroyal

perabet

pulibet

trust score weak 3

padisahbet

ikimisli giriş

tipobet

meritking

cratosroyalbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

marsbahis giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

lunabet, lunabet giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

esbet

casinoroyal

holiganbet

1win

tambet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

casibom

jojobet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

meritking

marsbahis

jojobet giris

jojobet telegram

holiganbet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giriş

betpuan

Hacklink panel

jojobet

marsbahis

Google

jojobet

meritking

jojobet giriş

holiganbet giriş

jojobet telegram

casibom giriş

jojobet giriş

casibom giriş

casibom güncel giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

yakabet

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

holiganbet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

marsbahis

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

gizabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

Grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

sweet bonanza

Featured Kitaifa

OFISI YA RAIS TAMISEMI YATOA MAFUNZO KWA WASHITIRI

Written by Alex Sonna

Mshauri Mwandamizi katika Usimamizi na Usambazaji wa Dawa kutoka HPSS Bi.Fiona Chilunda,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya   siku mbili  ya kuyajengea uwezo makampuni binafsi yanayotoa huduma ya kusambaza dawa na vifaa tiba yaliyotolewa na  Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa Tuimarishe Afya (HPSS) yaliyomalizika leo Mei 3,2023 jijini Dodoma.

 

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mshauri Mwandamizi katika Usimamizi na Usambazaji wa Dawa kutoka HPSS Bi.Fiona Chilunda,(hayupo pichani) wakati akifunga mafunzo ya   siku mbili  ya kuyajengea uwezo makampuni binafsi yanayotoa huduma ya kusambaza dawa na vifaa tiba yaliyotolewa na  Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa Tuimarishe Afya (HPSS) yaliyomalizika leo Mei 3,2023 jijini Dodoma.

Meneja Masoko kutoka Nebula Pharmaceutical Ltd, Linda Barnabas,akielezea umuhimu walioupata katika mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo Makampuni binafsi yanayotoa huduma ya kusambaza dawa na vifaa tiba yaliyotolewa na  Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa Tuimarishe Afya (HPSS) yaliyomalizika leo Mei 3,2023 jijini Dodoma.

Idrisa Mziray kutoka kampuni ya  Vasco Pharmaceutical Company Ltd ya Jijini Arusha,akizungumzia jisni walivyojifunza kuhusu  Teknolojia ya mfumo mshitiri inavofanya kazi ya kuwahudumia wazabuni katika hatua mbalimbali yaliyotolewa na  Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa Tuimarishe Afya (HPSS) yaliyomalizika leo Mei 3,2023 jijini Dodoma.

 

Mshauri Mwandamizi katika Usimamizi na Usambazaji wa Dawa kutoka HPSS Bi.Fiona Chilunda,akiwa katika picha pamoja na washiriki mara baada ya kufunga mafunzo ya   siku mbili  ya kuyajengea uwezo makampuni binafsi yanayotoa huduma ya kusambaza dawa na vifaa tiba yaliyotolewa na  Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa Tuimarishe Afya (HPSS) yaliyomalizika leo Mei 3,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kushirikiana na Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya wamewajengea  uwezo  makampuni binafsi yanayotoa huduma ya kusambaza dawa na vifaa tiba.

Makampuni hayo  ni yale yaliyopata  tenda kupitia mfumo mshitiri katika mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.

Akizungumza katika mafunzo hayo,jijini Dodoma,Mshauri mwandamizi katika usimamizi na usambazaji wa dawa kutoka HPSS ,Fiona Chilunda amesema kwa siku mbili walikuwa wakiwajengea uwezo makampuni hayo ambayo yanatoa  huduma za afya.

Amesema mafunzo yalilenga kuwajengea uwezo wakutumia mfumo ambao TAMISEMI  wameutengeneza kwa ajili ya kuagiza na kusambaza bidhaa kwenye vituo vya afya kwa kutumia mfumo mshitiri.

Amesema mfumo huo unatumika nchi nzima.

“Mfumo mshitiri unaruhusu Makampuni binafsi kusambaza bidhaa za afya kwenye vituo vya afya pale tu ambapo Bohari ya Dawa nchini (MSD) watathibitisha kutoweza kusambaza huduma hizo kwenye vituo.”

“Kwa maana hiyo hatutarajii kuwepo na mgogoro wa kimaslahi kwa kuwa mfumo unasaidia upatikanaji wa dawa wakati wote,”amesema Bi. Chilunda.

Kwa upande wake,Idrisa Mziray kutoka kampuni ya  Vasco Pharmaceutical Company Ltd ya Jijini Arusha amesema amejifunza jinsi teknolojia ya mfumo mshitiri inavyofanya kazi ya kuwahudumia wazabuni katika hatua mbalimbali.

Amesema teknolojia hiyo  ni katika kupokea order na kuhakikisha inafika sehemu husika kwa kufuata utaratibu ambao ni mzuri na m8singi mizuri ambayo imeandaliwa.

“Tunashukuru kwa kutuletea teknolojia hii,tunaamini itasaidia wananchi kupata huduma kwa muda sahihi,”amesema Mziray.

Naye,Meneja Masoko kutoka Nebula Pharmaceutical Ltd, Linda Barnabas, amesema mafunzo hayo yamewasaidia amewapongeza waandaaji wa mafunzo hayo ambayo amesema ni muhimu katika kuboresha utoaji wa huduma za afya.

Amesema mafunzo hayo yatasaidia wananchi kuweza kunufaika na kupata huduma kwa haraka pale ambapo MSD itakwama.

“Wao wataingia   katikati na kuwasaidia wananchi waweze kupata huduma kwa haraka.

“Pia teknolojia itasaidia kuboresha zaidi taarifa za usambazaji wa bidhaa za afya nchini”, amesema Linda.

About the author

Alex Sonna