marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

casinoroyal

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

meritbet

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA:KAZI YA ZIADA IFANYIKE KUSHUSHA FURSA KWENYE JAMII

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wananchi wakati wa kuhitimisha Tamasha la siku tatu la kuelimisha wananchi fursa za Maendeleo na kupinga ukatili ZIFIUKUKI katika mkoa wa Dar es salaam.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akitembelea mabanda mbalimbali ya wadau walioshiriki Tamasha la kuelimisha fursa za kiuchumi na kupinga ukatili ZIFIUKUKI, lililofanyika mkoani Dar es salaam.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge akizungumza jambo wakati wa kuhitimisha Tamasha la siku tatu la kuelimisha wananchi fursa za Maendeleo na kupinga ukatili ZIFIUKUKI katika mkoa wa Dar es salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saadi Mtambule akizungumza katika moja ya banda la wajasiriamali wakati wa kuhitimisha Tamasha la kuelimisha wananchi fursa za kiuchumi na kupinga ukatili lililofanyika Aprili 27-29, 2023 wilayani humo.

Wadau walioshiriki Tamasha la kuelimisha wananchi fursa za kiuchumi na kupinga ukatili lenye kaulimbiu ya ZIFIUKUKI lililofanyika Aprili 27-29, 2023 wakifuatilia matukio yanayoendelea wakati Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akihitimisha Tamasha hilo Aprili 29, 2023.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

Na WMJJWM,DSM

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuna kila sababu ya kutumia mbinu mbadala kuhakikisha taarifa za fursa mbalimbali za maendeleo zinawafikia wananchi.

Ameyasema hayo Aprili 29, 2023 alipokuwa akihitimisha Tamasha la Maendeleo la kutangaza fursa za kiuchumi na kupinga ukatili lenye kaulimbiu ya ZIFIUKUKI (Zijue Fursa Imarisha Uchumi Kataa Ukatili Kazi Iendelee) kwa mkoa wa Dar es salaam.

“Tuna ajenda nyingi sana lakini ajenda ya maadili inapaswa kuwa ajenda ya kipaumbele kwani, iwapo familia haina maadili ni sawa na kutokuwa na familia kabisa. Tuliangalia sababu za mmomonyoko wa maadili tukaona mbali na malezi na makuzi na utandawazi pia ni changamoto ya uchumi” amesema Dkt. Gwajima.

Waziri Dkt. Gwajima amesema Serikali na Wadau imeona katika kupambana na suala hilo ni vema pia kuzungumza na wananchi lugha ya kiuchumi kwa kuwasogeza karibu na fursa za mikopo nafuu, mafunzo, masoko ya bidhaa zao na ajira.

“Mpango wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kila Mwananchi anafikiwa na fursa za kiuchumi” ameongeza Waziri Dkt. Gwajima.

Aidha, Mhe. Gwajima ametoa wito kwa Wadau kujitokeza kushirikiana kuandaa matamasha hasa ngazi ya kata, mtaa na vijijii ili wengi washiriki na kukutana na fursa ambazo sio rahisi kwao kuzifikia.

Halikadhalika, amewashukuru Wadau wote wa Mkoa wa Dar es Salaam walioshirikiana na Wizara kuandaa Tamasha hilo muhimu ambalo litaendelea kufanyika katika mikoa yote nchini.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saadi Mtambule amesema wataendelea kuibeba ajenda ya ukatili na kuimarisha uchumi kwa kuimarisha Uratibu, kuwaunganisha Wajasiriamali na Taasisi za fedha pamoja na mifumo ya kidijitali

“Wadau wote mliokuja hapa tunawashukuru kwa moyo na utayari wa kubeba ajenda ya ukatili wa kijinsia. Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada anazofanya kuweka mazingira mazuri ya kiuchumi kwa Makundi yote.
Changamoto ya ukatili wa kijinsia kwa kiasi kikubwa inachangiwa na wengi kutokuwa na uwezo wa kutengeneza ajira na kipato hali iinayochochea unyonge na ukatili hasa kwa Wanawake” amesema Mtambule.

Kwa upande wake Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge ameishukuru Wizara na Wadau kwa kuzindua Tamasha hilo katika Wilaya ya Kinondoni na kwamba kuanza kwa Tamasha hilo kutafungua fursa kwa matamasha mengine Wilaya hiyo na Mkoa.

Nao baadhi ya washiriki waliopata nafasi ya kuonesha fursa zinazopatikana wametoa wito kwa wananchi wote kutafuta taarifa sahihi za kuwasaidia kuinuka kiuchumi ikiwemo kushiriki matamasha kama hayo.

About the author

Alex Sonna