Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKISINDIKIZA MWILI WA MTUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwafariji watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma mara baada ya kusindikiza mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023. (Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt.Switbert Mkama)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 30 Aprili 2023 wakisindikiza mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023 unaosafirishwa kuelekea Kyela mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwafariji watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma mara baada ya kusindikiza mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023. (Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt.Switbert Mkama)

About the author

mzalendoeditor