Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

Meritking

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat giriş

sekabet güncel giriş

grandpashabet

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

Featured Makala

UKATILI WA KIHISIA : SILAHA ILIYOSAHAULIKA KATIKA NDOA/ MAHUSIANO

Written by mzalendo

Na Gideon Gregory, Dodoma

Katika jamii nyingi, ukatili mara nyingi huzingatiwa kama kitendo cha mwili kinachoonyesha kuumiza mtu kwa njia za moja kwa moja kama vile kumpiga, kumchapa, au kumjeruhi.

Hata hivyo, ukatili wa kihisia ni aina ya ukatili ambao mara nyingi haionwi au kueleweka kwa urahisi, lakini athari zake kwa wahusika ni za kina na zinaweza kuathiri maisha yao kwa muda mrefu.

Ukatili wa kihisia ni silaha iliyosahaulika katika ndoa au mahusiano ambapo imesababisha maumivu yasiyoonekana lakini yenye nguvu kubwa.

Ukatili wa kihisia unahusisha matendo au maneno yanayolenga kudhoofisha hali ya kihisia, utu, au heshima ya mtu katika mahusiano ya karibu, hasa ndoa au uhusiano wa mapenzi ambao unaweza kuwa kama kusemwa maneno mabaya au kuonesha upendeleo wa kuumiza kihisia, kudharau, kuwatukana, au kupuuza hisia za mwenza wako.

Katika safari yangu ya kutafuta kuelewa sababu ya hali hii, Jambo FM imezungumza na baadhi ya wanandoa ambao.

Kila mmoja alikuwa na sababu zake Wengine walikiri kuwa hayo ni maneno ya kawaida au sehemu ya maisha ya ndoa, lakini waliishia kugundua kuwa mioyo yao imevunjwa vunjwa vipande vilivyojaa maumivu huku wakielezea visababishi vya tatizo hilo.

Mwanandoa wa kwanza (mwanamke) ambaye hakutaka kutaja jina lake anasema hali hiyo hitokea pale ambapo mmoja wao anakuwa amepata mtu mwingine hali inayosababisha mambo hayo kuanza kutokea kwenye ndoa au mahusiano japo inategemea anaweza kuwa mwanaume au mwanamke.

“Unakuta mwanaume na mwanamke kila mmoja ana mtu wake pembeni, kwahiyo sasa wa ndani anamuona sasa hana thamani, kwahiyo mara nyingi inakuwaga hivyo mara nyingi inakuwaga hivyo ndiyo maana wanatoleana maneno kama hayo,”amesema.

Mwanandoa wa Pili (mwanaume) yeye anadai kuwa kwanza kampani anazokuwa nazo mwanamke (mashoga zake), vijistori wanavyokuwa wanapiga ndipo anachukua tabia hizo ambazo hupelekea unyanyasaji huo kuanza kwenye ndoa au mahusiano.

“Anategeshea mwanaume wake akifanya kosa kidogo analianzisha yaani anapita mule mule ambapo walikuwa wanazungumza na mashoga zake ambavyo walikuwa wanamshauri, si unajua wanaigana wanawake kwahiyo mojawapo ya sababu ndo hiyo,”amesema.

Mwanandoa huyo anaendelea kusema kuwa hata suala la uchumi nalo ni chanzo kwasababu hakuna mwanamke anapenda kuona mwanaume ambaye hajiwezi fedha (hoi hae).

Mwanandoa wa kwanza anaendelea kusema kuwa mwenza unakuta alikuwa na upendo lakini akapunguza, sasa katika kufanya hivyo anajikuta analeta kelele ambazo mmoja wao anazivumilia mpaka anazichoka.

“Kwahiyo nikishazichoka basi nitakuwa naona mbona huyu kama ananionea,”anasema mwanandoa wa kwanza.

Mwanandoa wa Pili anaongeza kuwa kila mtu kaumbwa na nidhamu yake hivyo hadhani kama kushuka kiuchumi inaweza kuwa sababu ya kurushiana maneno.

Lugha za fedheha zinazotweza utu wa binadamu zimekua kama silaha inayotumka kupima uzito, hadhi ya mtu hata thamani yake, na pengine wengi wetu hatujui kwamba mara nyingi, mtu anayevumilia lugha hizo za kejeli katika mahusiano basi tayari amechoka na siyo kwamba amezoea la hasha.

Niliamua kumtafuta mtaalamu wa saikolojia na unasihi Peter Njau, nikihitaji kujua ni athari gani anaweza kuzipata mtu anayepitia ukatili wa kihisia yaani lugha zisizo na staha zenye kuuthi na kutweza utu?

Bw. Njau anasema athari za kutumia lugha ambazo hazina staha miongoni mwa wanandoa au wana jamii ambazo zinatweza utu moja kwa moja zinaweza kuwa ana athari nyingi ikiwemo zile zinazooneka na zisizoonekana ikiwa ni pamoja na kupunguza kujiamini.

“Mfano unakuta mtu amekosolewa labda kupitia maumbile yake, rangi yake, muonekano wake jinsi alivyo hata kiwango chake cha kujiamini kinaweza kikashuka, kwamba ameambiwa maneno ambayo sio mazuri na mwenza wake na huu unakuwa ni ukatili,”anasema Bw. Njau.

Anasema huo unakuwa ni ukatili wa maneno, kwamba mtu anakuwa hajaguswa kimwili lakini umempa maneno ambayo yameenda kuathiri hisia zake,”anasema.

Kwa sababu madhara ya ukatili huu siyo ya kawaida inanibidi kumtafuta kiongozi wa dini kwa lengo la kupata somo juu ya namna wanandoa wanapaswa kuwa na mazungumzo yenye staha yaani mbinu bora za mawasiliani (marriage communication).

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kiwanja cha Ndege Padre Pascal Dionese anawashauri wanandoa au wapenzi pale wanapozungumza kujaribu kuepuka maneno yele yenye matusi au kupigiana kelele pasipokuwa na sababu pamoja na kwamba watakuwa na hasira kwasababu vikombe viwili vinapokuwa kwenye sinia moja havikosi kugongana.

“Lakini ninyi kama ninyi mjitahidi kuepuka mazingira kama hayo, pia katika mazungumzo yenu muwe na dhana ya kusikilizana, kwasababu huwezi ukawa na mawasiliano chanya kama hakuna kusikilizana, basi kumbe kuna baadhi ya vitu lazima mviepuke katika ndoa au mahusiano yenu,”amesema.

Ukatili wa kihisia ni tatizo linalozidi kuenea na kuathiri maisha ya watu wengi katika ndoa na mahusiano ya karibu, ni silaha iliyosahaulika ambayo inaweza kuua hisia na kuangamiza maisha ya furaha na amani.

Hivyo basi, ni muhimu kwa jamii kuelimika, watu kuweza kutambua dalili za ukatili huu na kutoa msaada wa haraka ili kuokoa maisha na mahusiano yenye afya.

Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu (NBS), inaonesha kuwa idadi ya wahanga walioripotiwa kufanyiwa ukatili wa kihisia kwa mwaka 2023 walikuwa 3,657, ambapo wahanga wanawake walikuwa 2,263 sawa na asilimia 61.9 na wanaume walikuwa 1,394 sawa na asilimia 38.1. 
 
Ambapo Wahanga wa ukatili wa kihisia wameongezeka kwa asilimia 29.3 kutoka wahanga 2,828 mwaka 2022 hadi 3,657 mwaka 2023, huku Wanaume wakiongezeka kutoka 1,159 mwaka 2022 hadi 1,394 mwaka 2023 na wanawake wakitoka 1,669 mwaka 2022 hadi 2,263 mwaka 2023.
 
Ripoti hiyo inaongeza kuwa katika kipindi cha mwaka 2023, wahanga wengi wa umri wa miaka 0-17 waliripoti matukio hayo ambapo Mkoa ulioongoza kuwa na wahanga wengi ni Arusha(53), ukifuatiwa na Dar es Salaam(30), na Tabora (30).
 
 Kutokana na takwimu hizo za ukatili  Ofisi ya Taifa ya Takwimu inapendekeza kuwa watoto wenye umri wa miaka 4-17 wapewe elimu ya ukatili na unyanyasaji wakiwa mashuleni ili waweze kujiepusha na matukio ya ukatili na kuyaripoti mara yanapotokea.

About the author

mzalendo