marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

Marsbahis

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

supertotobet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

casibom

Featured Kitaifa

BUNIFU ZINACHOCHEA KASI YA MAENDELEO YA UCHUMI NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo,akielezea malengo ya wiki ya ubunifu wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof James Mdoe,akizungumza wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko, ameipongeza Wizara ya Elimu kwa kuendeleza ubunifu na ugunduzi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Baadhi ya Wadau wakitoa salamu wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Sehemu ya wageni wakifatilia hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda (hayupo pichani),wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akiwakabidhi Vyeti baadhi ya washindi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

        

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akipata maelezo katika mabanda mara baada ya kufunga Kilele cha Maadhimisho ya  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,imesema masuala ya sayansi, teknolojia na ubunifu yanachochea kwa kasi maendeleo ya uchumi nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda katika Kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka leo Aprili 28,2023 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Prof.Mkenda amesema sayansi, teknolojia na ubunifu una mchango mkubwa wa kuchagiza maendeleo ya kiuchumi na kwamba nchi mbalimbali zimefanikiwa kutokana na kuwekeza kwenye eneo hilo.

“Ibara ya 102 ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi inaahidi kuwa serikali itahakikisha inaendeleza sayansi, teknolojia na ubunifu, tunachokifanya hapa leo ni kuendeleza yale ambayo chama chenye serikali kilitoa ahadi wakati wa kuomba kura kwa wananchi, baada ya kufanya maonesho haya ya MAKISATU tunaona tunapata bidhaa zilizoibuliwa, zimebiasharishwa na ni jukumu letu kuzitangaza,”amesema Prof.Mkenda

Aidha Prof.Mkenda ameeleza kuwa  Ilani ya CCM ilipoahidi kwa wananchi kuendeleza sayansi, teknolojia na ubunifu ni jambo kubwa sana na litakalowezesha nchi kusimama na mataifa mengine duniani bega kwa bega.

“Niwashukuru wadau mbalimbali ambao wameungana nasi kufanikisha maonesho haya napenda kutoa shukrani za pekee kwa UNDP na wadau wengine kwa kutushika mkono kupitia program ya FUNGUO, napenda kutaja benki ya NMB, CRDB, UNESCO, WFP,LM International TANZTECH hawa wataanza kuzalisha vishikwambi nchini na wataungana na sisi kupitia vyuo mbalimbali ili kusaidia wanafunzi wetu ili kuingia kwenye mafunzo maalum ya masuala ya kielektroniki na uhandisi,”amesema.

Hata hivyo Waziri Mkenda amewasisitiza vijana kusoma sayansi ili kuwa kupata wataalamu wa kutosha kwenye fani za sayansi na uhandisi.

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko ameipongeza Wizara ya Elimu kwa kuendeleza ubunifu na ugunduzi hali itakayochagiza kufikia Tanzania ya Viwanda.

Awali Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Prof.Carolyne Nombo, amesema maadhimisho hayo ni sehemu ya mkakati wa serikali ya awamu ya sita katika kuongeza hamasa ya matumizi ya sayansi na teknolojia na ubunifu kama nyenzo muhimu ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Amesema tangu kuanzishwa kwa Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) Mwaka 2019 wabunifu na wavumbuzi wachanga wapatao 2,636 waliibuliwa na kutambuliwa na Wizara.

“Wabunifu wengine 283 wanaendelezwa na serikali kupitia Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) ili ubunifu wao ufikie hatua ya kuwa bidhaa na kuingia sokoni ili kuongeza fursa ya ajira na vipato kwa vijana wetu, wabunifu wachanga wanaendelezwa kwenye vituo atamizi na kumbi za ubunifu ambazo hadi sasa bunifu na teknolojia 53 zimefanikiwa kufikia hatua ya kuwa bidhaa na hivyo kutumika kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya kilimo, maji , madini, afya, elimu,”amesema.

Aidha ameeleza changamoto wanazokutana nazo wabunifu wachanga ni kukosa mahali pa kuendeleza bunifu zao na kwa kutambua hilo serikali kupitia taasisi ya COSTECH imeanzisha kumbi za ubunifu (Buni Innovation Hub) na atamizi za DTB kwa lengo la kuendeleza vijana wenye mawazo ya ubunifu mbalimbali.

About the author

Alex Sonna