Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MAAFISA WIZARA YA FEDHA ZANZIBAR WAFURAHIA JENGO JIPYA LA WIZARA YA FEDHA MTUMBA.

Written by Alex Sonna


Afisa Utumishi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Salum Said, (Kulia), akitoa maelezo kwa watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango-Zanzibar, kuhusu mifumo ya usalama na utambuzi iliyopo katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha lililopo katika Mji wa Serikali-Mtumba, jijini Dodoma, wakati maafisa hao walipotembelea Jengo hilo. Maafisa hao wapo jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kinavyotekeleza majukumu yake ya kuhabarisha umma kuhusu shughuli za Serikali.

Afisa Utumishi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Salum Said (Kulia), akitoa maelezo kwa watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango-Zanzibar, waliotembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo katika Mji wa Serikali-Mtumba, jijini Dodoma, kuhusu masuala mbalimbali yaliyopo katika Jengo hilo. Maafisa hao wapo jijini Dodoma, kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinavyotekeleza majukumu yake ya kuhabarisha umma kuhusu shughuli za Serikali.

Afisa Habari na Uhusiano, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bi. Hamida Maalim Suleiman (kushoto), akimsikiliza Afisa Tawala Mwandamizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Salum Issa Said, wakati akitoa maelezo kwa watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango-Zanzibar, waliotembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha lililopo katika Mji wa Serikali-Mtumba, jijini Dodoma.kuhusu masuala mbalimbali yaliyopo katika Jengo hilo. Maafisa hao wapo jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinavyotekeleza majukumu yake ya kuhabarisha umma kuhusu shughuli za Serikali.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bi. Zuhura Mgeni Mwalim (wapili kulia), Afisa Habari na Uhusiano Msaidizi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bw. Abubakar Khamis Haji (kulia), Afisa Tehama Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bi. Sahiya Kombo Moh’d (wa pili kushoto), Afisa Habari na Uhusiano wa Wizara hiyo, Bi. Hamida Maalim Suleiman (kushoto) na Afisa Utumishi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Salum Said, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo katika Mji wa Serikali-Mtumba, jijini Dodoma, ambapo maafisa hao wapo jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinavyotekeleza majukumu yake ya kuhabarisha umma kuhusu shughuli za Serikali.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF- Dodoma)

Na. Asia Singano, na Joseph Mahumi, WF – Dodoma

Ugeni kutoka Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, umetembelea Jengo jipya la Wizara ya Fedha, lililopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, kwa lengo la kujionea mazingira ya kazi pamoja na kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kinavyotekeleza majukumu yake ya mawasiliano ya Serikali na utoaji wa taarifa kwa umma.

Katika ziara hiyo, wageni hao walipata fursa ya kutembelea ofisi mbalimbali ndani ya Jengo hilo na kujionea mifumo ya kisasa inayotumika katika utekelezaji wa shughuli za Wizara, hususan katika maeneo ya Ofisi za Viongozi, Kumbi za Mikutano, Ofisi za Utawala, Ofisi ya Mawasiliano Serikalini pamoja na sehemu ya maegesho ya magari.

Ugeni huo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wizara ya Fedha na Mipango, Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, uliwahusisha Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bi. Zuhura Mwalim, Afisa Habari na Uhusiano Msaidizi, Bw. Abubakar Haji, Afisa TEHAMA, Bi. Sahiya Kombo, pamoja na Afisa Habari na Uhusiano, Bi. Hamida Suleiman.

Aidha, msafara huo uliongozwa na Afisa Utumishi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Salum Said, kwa niaba ya Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Lucius Mwenda, ambaye alisema kuwa ziara hiyo ni sehemu ya ushirikiano wa Serikali unaolenga kubadilishana uzoefu na kuimarisha utendaji kazi kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.

Alisema kuwa licha ya wageni hao kuwasili kwa ajili ya mafunzo ya kujifunza namna Kitengo cha Mawasiliano kinavyofanya kazi, Wizara iliona umuhimu wa kuwapa nafasi ya kutembelea Jengo jipya la Wizara ili wajionee mazingira bora ya kazi pamoja na mifumo ya kisasa inayotumika katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali.

“Jengo hili limejengwa katika viwango vya kisasa vinavyowezesha mazingira bora ya utendaji kazi, kuongeza morali kwa watumishi pamoja na kuimarisha ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi,” alisema Bw. Salum.

Kwa upande wao, wageni kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, walieleza kufurahishwa na mandhari ya Jengo hilo, wakisifu mpangilio wa ofisi, usasa wa mazingira ya kazi pamoja na mifumo mbalimbali inayorahisisha utendaji kazi wa kila siku.

Walisema kuwa mazingira hayo yanawavutia watumishi kupenda kazi, kuongeza ari ya utendaji pamoja na kuchochea uwajibikaji na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.

Katika ziara hiyo, wageni hao waliambatana na Maafisa Habari wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliokuwa wakitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na kitengo hicho katika kuhabarisha umma kuhusu shughuli za Wizara.

About the author

Alex Sonna