marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

UTUMISHI NA e-GA WAJIPANGA KUTUMIA MIFUMO KURAHISISHA UTENDAJI KAZI

Written by Alex Sonna

 

 Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Hossea Laizek,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la e-GA wakati wa kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo Aprili 28,2023 kwenye  uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Afisa TEHAMA  kutoka  Mamkala Mtandao (e-GA)  Tumaini Masinsi ,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la e-GA wakati wa kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo Aprili 28,2023 kwenye  uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Afisa TEHAMA kutoka Mamlaka Mtandao Vannesa Mhando  ,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la e-GA wakati wa kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo Aprili 28,2023 kwenye  uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

,WANANCHI wakipata elimu kwenye banda la e-GA wakati wa kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo Aprili 28,2023 kwenye  uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA

Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora  kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao ( e-GA) imejipanga kutumia mifumo ya teknolojia kurahishisha utendaji kazi wa watumishi wa umma.

Hayo yameelezwa leo Aprili 28,2023 Jijini Dodoma na Afisa TEHAMA kutoka Utumishi Bw.Hossea Laizek,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la e-GA wakati wa kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo Aprili 28,2023 kwenye  uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Amesema kupitia mfumo wa E mrejesho watumishi  wanaweza kufuatilia taarifa mbalimbali kuhusu malalamiko,pongezi na huduma mbalimbali zinazotolewa katika ofisi.

Pia amesema  kuna mfumo wa watumishi porto ambao unaweza   kuwahudumia watumishi wa uuma bila ya kufika katika kituo cha kazi ikiwa ni pamoja na kufanya uhamisho.

“Kuna huduma nyingine inawezesha watumishi kupanga plan zao za mwaka na kurekodi utendaji kazi wake wa kazi,”amesema Laizek

Kwa upande wake Afisa TEHAMA  kutoka  Mamkala Mtandao (e-GA)  Tumaini Masinsi amesema kupitia maonesho hayo kuna  mfumo uitwao Oxgen Net ambao ni wa Whatsup ya ndani.

“Oxgen ni chatting platform ni ya hapa ndani kwa ajili ya kuchat na kwa ajili ya video Call na kwa ajili ya kujifunza vitu mbalimbali.Namna ya kuipata unaweza kutumia Web Oxgen Net na kuitumia na katika  Playstore,”amesema

Amesema katika maonesho hayo  wamekuja na bunifu mbalimbali za mfumo kwenye mambo ya tehama ambazo zimefanywa na vijana wabunifu  wazalengo.

“Tuna bunifu mbalimbali ambazo zimefanya na wabunifu wazalendo kwa ajili ya kurahisisha vikao vya madaniwani na Halmashauri  ikiwa ni pamoja na kuweka vizuri agenda,”amesema

Pia amesema wana E dodoso  imetengezwa kwa ajili ya watafiti kukusanya data na kuchakata   ambazo zitarahishisha uandishi wa ripoti mbalimbali.

Naye,Afisa TEHAMA kutoka Mamlaka Mtandao Vannesa Mhando  amesema wao kama vijana wanajifunza uzalendo na kutiwa moyo kuendelea kutengeneza suluhu ambazo zitatua matatizo ya watanzania.

Amesema wanajiendeleza kiteknolojia kwa ajili ya kukuza ujuzi na kuendeleza mambo mazuri.

“Mfano kama siku ya leo tumeonesha suluhu mbalimbali za mifumo ambayo itapunguza gharama kubwa na kubwa kuliko yote imefanywa na sisi wazawa,”amesema.

About the author

Alex Sonna