slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MBETO: AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO ZANZIBAR

Written by Alex Sonna

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis, akikagua samaki aina ya pweza katika soko la Darajani Zanzibar, katika ziara yake ya kuangalia hali ya upatikanaji wa chakula nchini.leo tarehe 30/03/2023.

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis,akisikiliza changamoto za mfanyabishara wa soko la Welezo Wilaya ya Magharibi ‘’A’’ Unguja.

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis,akiuliza bei ya vyakula aina ya mchele na maharage katika soko la Mwanakwerekwe ‘’C’’ Wilaya ya Magharibi ‘’B’’, katika ziara yake ya kukagua hali ya upatikanaji wa chakula.

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis,akizungumza na viongozi wa mkoa,wilaya na manispaa zote tatu(hawapo pichani) katika majumuisho ya ziara hiyo ya kukagua hali ya chakula Zanzibar.

MKUU wa Wilaya ya mjini Rashid Simai Msaraka kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib,akitoa ufafanuzi wa hoja mbali mbali zilizotokea katika ziara hiyo mbele ya Katibu  wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis, katika majumuisho ya ziara hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa soko la samaki Malindi Zanzibar.

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.

Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimeridhishwa na hali ya upatikanaji wa chakula katika mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na bei za bidhaa zinazoingizwa katika masoko mbalimbali yaliyopo katika Mkoa wa Mjini Magharibi na maeneo jirani.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Kamati Maalumya NEC, idara ya itikadi na uenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis,katika ziara yake ya kutembelea mazoko yaliyopo katika mkoa wa mjini magharibi.

Alieleza kwamba kupitia ziara hiyo amejiridhisha kuwa chakula nchini kipo na kinapatikana kwa bei elekezi ya Serika ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Aliwapongeza wafanyabishara nchini kwa kufuata maelekezo ya Rais wa Zanzibar Dk.Mwinyi, aliyewasihi kuhakikisha wanaleta chakula na kuuza kwa bei halali iliyowekwa na serikali.

Katika maelekezo yake Katibu huyo Mbeto, alisisitiza kuwa hali hiyo ya upatikanaji wa chakula nchini iwe endelevu kwani wananchi wanahitaji chakula wakati wote.

“Tunawapongeza wafanyabishara wote nchini kwa uzalendo wenu wa kuhakikisha chakula kinapatikana kwa wingi nchini na bei zake zina unafuu kwa wananchi wa hali ya kawaida, nasaha zangu ni kuwa endeleeni kutoa huduma hii ya kuuza vyakula vya aina zote isiishie katika mwezi huu wa ramadhani tu kwani kila siku wananchi wanahitaji kula.

changamoto ya zamu ya upigaji mnada kwa masoko yote hiyo naichukua nitaenda kukaa na viongozi wa Chama na Serikali tujadili na baada ya maamuzi ya vikao tutapata suluhisho hivi karibuni.”, alisema Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Mbeto.

Alieleza kuwa Zanzibar  kuna chakula cha kutosha cha miezi mitatu mbele hivyo amewaomba wafanyabiashara kuendelea kufata bei elekezi ili kuona wananchi wanyonge wanamudu gharama za kununua chakula hicho.

Alifafanua kuwa mbali na bidhaa hizo pia meli ya bidhaa ya tende tayari imefika Zanzibar na imeanza kushusha mzigo huo kwa ajili ya kutumika katika mwezi mtukufu wa ramadhani. 

Pamoja na hayo aliwapongeza Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi, kwa juhudi zao za kupambana na tatizo la mfumoko wa bei duniani huku nchi zao mbili zikiwa na chakula cha kutosha kinachokidhi mahitaji ya wananchi.

Alichukua nafasi hiyo pia kumpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar ndg.Nahaat Mohamed Mahfoudh, kwa kutekeleza maagizo ya Chama Cha Mapinduzi ya kuhakikisha meli zote za chakula zinashusha bidhaa hizo kwa wakati ili wananchi mitaani wapate huduma hiyo.

Pamoja na hayo alitoa ufafanuzi juu ya changamoto ya ushuru kwa wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa kutoka Pemba amesema Chama cha Mapinduzi kikiwa ni msimamizi mkuu wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 kitawaelekeza viongozi wa mkoa, wilaya, manispaa na bandari kukaa pamoja na wafanyabiashara wa masoko kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa changamoto hiyo.

Kupitia ziara hiyo Mbeto, amewataka madiwani nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kufanya usafi katika maeneo  mbalimbali hususani katika masoko na mitaro ili kuepuka mafuriko katika kipindi hiuki cha mvua za masika.

Kwa upande wake katibu wa kamati maalumu ya NEC,Idara ya mambo ya siasa na  Uhusiano wa Kimataifa Khadija Salum Ali,amewasihi    wafanyabiashara hao kuendeleza ushirikiano ili serikali iweze kutatua kwa wakati changamoto zinazowakabili.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Mjini Zanzibar Rashid Simai Msaraka alisema suala la upatikanaji wa chakula nchini limetafutiwa ufumbuzi wa kudumu na kwa sasa kinapatikna kwa bei halali za serikali.

DC.Msaraka, aliwahakikishia wafanyabiashara wa soko la kibandamaiti kuwa soko hilo litaongezewa nguvu ili kuwa kubwa kuliko masoko yote yaliyowepo mkoa wa mjini magharibi.

Nao wafanyabiashara wa masoko mbalimbali wameiomba serikali kutoa maamuzi sahihi wapi mnada unatakiwa ufanyike ili kuepusha kuwatia hasara ya kuharibika kwa bidhaa zao. 

Pia wafanyabiashara hao waliomba serikali kushusha ushuru kwa bidhaa zinazotoka pemba ili kutoa unafuu kwa wananchi hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani ili kuepusha kupanda kwa bei za bidhaa.

Katibu huyo Mbeto,alitembelea masoko ya Jumbi,Mwanakwerekwe ”C”,Mombasa,Welezo,Kibandamaiti,Darajani,soko la samaki malindi na katika gati ya badari ya kushusha mizigo malindi.

About the author

Alex Sonna