RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri Elimu,Sayansi na Teknolojia. Mhe.Prof. Adolf Mkenda (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleMBETO: AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO ZANZIBAR
Next articleRAIS SAMIA NA HARRIS WADHAMIRIA KUIMARISHA USHIRIKIANO 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here