Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuonesha Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris nakshi za michoro ya milango ya Zanzibar pamoja na madirisha yake katika ukumbi wa Kikwete mara baada ya mazungumzo yao , Ikulu Jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor