Sloti ya Forest Rock
Hapo zamani za kale tulizoea kukaa nje au valandani kupiga stori na wazee wetu, hadithi nzuri tulisimuliwa lakini moja kati ya hadithi nzuri ni za Wanyama hakika zilipendwa sana, kama wewe ushawahi kuhadithiwa stori za Sungura mjanja jipige kifua sema mimi ni muhenga.
Leo nataka nikwambie kuwa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekuja na Sloti ya Wanyama kama Sungura, Simba, Dubu na Tembo wote wakiwa na jukumu moja tu la kukuburudisha na kukupa ushindi.
Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.
Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja,Simbani bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo na ushinde.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock
Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidiya yote ni pale utakapopata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu,Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.
Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock inachaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadimbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.