Featured Kitaifa

???????? ??? ????? 2 ?? ???? ?????, ?????

Written by mzalendoeditor


Mkuu wa Wilaya ya Gairo ndugu Jabiri Makame amesema Wilaya ya Gairo ni Moja ya Wilaya zilizopendelewa sana katika kipindi Cha ????? 2 ?? ??????? ?? ???. ??? ????? ?????? ??????, ???? ?? ??????? ?? ???????? ?? ????????.

Akizungumza katika Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 2 ya Uongozi wa Rais Samia, DC Makame amesema Wilaya ya Gairo imetekeleza miradi yenye thamani ya zaidi Bilioni 30 katika Sekta zinazogusa maisha ya Wananchi zikiwemo Sekta ya Afya, Maji, Barabara, Elimu, Kilimo na Utawala Bora. Miradi iliyotekelezwa ni pamoja na Mahakama ya Wilaya, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Hospitali ya Wilaya, Vituo 2 vya Afya, Zahanati 8, barabara za lami na zege, madarasa 79, miradi ya Maji Vijiji na mjini nk.

Kwa upande wake Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Gairo Danistan Mwigoha alieleza Mbunge wa Jimbo la Gairo Mhe. Ahmed Shabiby kupitia Ofisi ya Jimbo imetumia zaidi ya milioni 120 kutekeleza miradi ya maendeleo na kwamba Mbunge wa Jimbo hilo anaendelea kufanya jitihada za kutafuta fursa mbalimbali za Maendeleo kwa ajili ya Jimbo la Gairo.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo ndugu Dastan Mwendi naye alieleza kuwa, Rais Samia ameitendea haki Ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Wilaya ya Gairo, kwani Wilaya ya Gairo inapiga hatua za Maendeleo kwa Kasi kubwa katika Sekta mbalimbali za huduma za Kijamii, na kuwataka Watendaji wa Serikali kwenda na Kasi ya Rais Samia ili kukidhi matarajio ya Wananchi.

About the author

mzalendoeditor