Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA AZINDUA TUZO KWA WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizindua Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ hafla iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu Prof.Maulilio Kipanyula,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri   wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari (hayupo pichani)  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

 

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizindua Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ hafla iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

 

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’ iliyofanyika leo Machi 26,2023 jijini Dodoma.

Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amezindua tuzo kwa wahadhiri wa elimu ya juu ambao tafiti zao zitachapishwa katika majarida ya juu ambapo chapisho litakalokidhi vigezo na kushinda litapata Sh milioni 5o.

Prof. Mkenda ameyasema hayo leo Machi 26,2023 Jijini Dodoma  wakati wa uzinduzi wa Tuzo ya Umahiri kwa watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hafadhi ya juu Kimataifa ‘High Impact Factor Journals’.

Prof Mkenda  amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi na kuimarisha uwezo wa nchi katika kufanya tafiti na ubunifu unaolenga kuchagiza maendeleo ya uchumi wa viwanda na kuboresha maendeleo ya watanzania.

Amesema juhudi hizi zinajumuisha, pamoja na masuala mengine, kuongeza fedha na kujenga miundombinu ya kisasa ya utafiti na ubunifu sambamba na kuongeza idadi ya rasilimali watu yenye weledi stahiki na morali.

“Katika kuimarisha juhudi hizo na kuhakikisha kwamba nchi yetu inazalisha matokeo ya utafiti yanayoakisi na kujibu changamoto mbalimbali za kijamii na kiuchumi na yenye hadhi ya kimataifa.

“Wizara imeanzisha Tuzo ya kila mwaka kwa watafiti kutoka Taasisi za Elimu ya Juu za Umma na Binafsi nchini wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya kimataifa `High Impact Factor Journals`,”amesema Prof Mkenda.

Prof Mkenda amesema upatikanaji wa washindi wa tuzo hiyo  utazingatia utaratibu na vigezo vilivyoainishwa katika mwongozo wa Kitaifa ambao umezinduliwa  na kuanza kutumika rasmi kushindanisha machapisho yaliyochapishwa ndani ya kipindi cha kuanzia  Juni 1  2022 hadi Mei  31  mwaka huu.

“Tuzo hii itaanza kutolewa kwa machapisho katika fani za Sayansi Asilia na Hisabati na Tiba,”amesema 

Aidha,Mkenda  amesema tuzo hiyo  itajumuisha cheti na fedha taslimu Shilingi Milioni 50 kwa kila chapisho litakalokidhi vigezo na kushinda.

Vilevile, tuzo hiyo itatolewa kwa machapisho yote yanayokidhi vigezo kwa mwaka husika kwa kuzingatia uwezo wa kibajeti.
Amesema kwa mwaka huu wa fedha 2022/2023, Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni moja.
Amesema wahadhiri watakaohusika na tuzo hiyo ni wale waliofanya utafiti kwenye maeneo ya sayansi asilia, hisabati na tiba na matokeo ya tafiti zao kuchapishwa katika majarida ya juu ya kimataifa.

Prof Mkenda amesema kwa kawaida matokeo ya mtafiti yatachapishwa katika majarida hayo kama dunia itayatambua na kuona kuwa mtafiti amesogeza uelewa wa binadamu katika maeneo ya sayansi na tiba.

Amesema majarida yenye hadhi ya kimataifa yatachanguliwa kwa kwa kuzingatia kigezo cha “Impact Factor”ambacho  kinachoakisi ubora wa machapisho katika Jarida husika.

“Mwombaji lazima awe Mtanzania kutoka katika Taasisi yoyote ya Elimu ya Juu iliyothibitishwa na mamlaka husika nchini mathalan TCU na NACTVET.

“Kila chapisho linalokidhi vigezo na kushinda litapokea Tuzo moja pekee inayojumuisha cheti na shilingi milioni 50; na ikiwa litakuwa limehusisha waandishi wa kitanzania zaidi ya mmoja, kiasi hicho cha fedha kitagawanywa kwa kuzingatia utaratibu ulioainishwa katika Mwongozo wa Tuzo

“Mchakato wa kupata washindi utasimamiwa na Kamati ya Tuzo ambayo itateuliwa na Wizara kwa kuzingatia vigezo na uwiano ulioainishwa katika Mwongozo wa Tuzo,”amesema Prof Mkenda.

About the author

Alex Sonna