Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

MRADI WA KAKONO KUANZA KUTEKELEZWA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa  (AFD) Celine Robert( kushoto) na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba wakisaini mkopo wa fedha za kuwezesha utekelezaji wa Mradi wa kufua umeme wa Maji wa Kakono kuwezesha mkopo wa fedha za utekelezaji wa Mradi wa kufua umeme wa Maji wa Kakono hafla iliyofanyika Machi 15, 2023, Jijini Dar es Salaam, kulia anayeshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum. (kulia), jijini Dar es Salaam.

Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini  Tanzania, Dkt. Patricia Laverley (kushoto) na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba wakionyesha nyaraka za saini ya mkopo wa fedha za kuwezesha utekelezaji wa Mradi wa kufua umeme wa Maji wa Kakono, hafla iliyofanyika Machi 15, 2023, jijini Dar es Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum. (kulia), jijini Dar es Salaam.

Mhandisi Edson Ngabo kutoka Wizara ya Nishati, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, baada ya kusainiwa kwa mkopo wa fedha za kutekeleza wa Mradi wa kufua umeme wa Maji wa Kakono, hafla iliyofanyika Machi 15, 2023, Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Saada Nkuya, (wa pili kulia mtari wa mbele), Washirika wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Shirika la Maendeleo la Ufaransa  na Umoja wa Ulaya na Viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake, Wizara ya Fedha na Mipango na maofisa wengine wa Serikali wakati hafla iliyofanyika Machi 15, 2023, jijini Dar es Salaam.

 Na Zuena Msuya, Dar es Salaam,

Mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera (Kakono) wenye uwezo wa MW 87.8 utaanza kutekelezwa hivi karibuni baada ya kusainiwa kwa mkopo wa Dola za Marekani Milioni 325 sawa na shilingi Bilioni 750 za Kitanzania kati ya Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kimataifa ya Maendeleo.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa hafla ya utiaji saini mkopo huo iliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam, Machi 15, 2023.

Amesema kuwa, fedha hizo zimetolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ambayo imetoa Dola za Marekani milioni 161.47 sawa na shilingi 374.9 Bilioni, Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limetoa Euro Milioni 110 sawa na takriban shilingi 272.6 Bilioni na Umoja wa Ulaya (EU) umetoa Euro milioni 35 sawa na shilingi 86.7 Bilioni.

Ameongeza kuwa, katika fedha hizo Serikali itatoa Dola za Marekani Milioni 6.03 sawa na takribani shilingi Bilioni 13 za Kitanzania ili kuhakikisha mradi huo unatekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano kama ilivyopangwa.

Dkt.Nchemba amesema kuwa mradi wa Kakono unaendana na Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP III) na sehemu ya ajenda pana ya Serikali ya Awamu ya Sita inayolenga kujenga Uchumi wa Kiushindani na uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo ya Watu kwa kuboresha miundombinu yenye tija, upatikanaji wa nishati ya uhakika, kuimarisha mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji pamoja na mifumo ya elimu na mafunzo.

“Kufuatia hatua hii muhimu iliyofikiwa, naomba kuhamasisha maandalizi ya mkataba wa Umoja wa Ulaya uharakishwe ili kuwa na fedha zote za ufadhili tayari kwa utekelezaji wa mradi”, alisema Mwigulu. Ameongeza na kusema mkataba uliobaki kusainiwa ni mmoja tu wa Umoja wa Ulaya ambapo kwa Upande wake Serikali ya Tanzania iko tayari kufanya hivyo.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Edson Ngabo amesema lengo kuu la Mradi huo ni kuongeza uzalishaji wa nishati kwenye Gridi ya Taifa kutokana na vyanzo vya gharama nafuu  na pia kuongeza uhakika wa umeme katika maeneo ya Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania hususani mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alifafanua kuwa utekelezaji wa mradi huo utakamilika ndani ya miaka mitano (5) na utahusisha ujenzi wa mtambo wa kufua umeme wa MW 87.8, njia ya kusafirishia umeme, kuboresha Kituo cha kupoza umeme na kazi nyingine zikiwemo ujenzi wa shule ya msingi na kituo cha afya katika maeneo ambayo mradi utatekelezwa.

 Vilevile ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 28 na hivyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya kanda hiyo na pia unahusisha usambazaji wa umeme na utekelezaji wa mpango wa usimamizi wa mazingira na kijamii.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Saada Nkuya, Washirika wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Shirika la Maendeleo la Ufaransa  na Umoja wa Ulaya na viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake, Wizara ya Fedha na Mipango na maofisa wengine wa Serikali.

About the author

Alex Sonna