Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

sapanca escort

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Jojobet

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren siteler

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

bedava deneme bonusu

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

betist

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

WATU 267, 261 WAFIKIWA NA KAMPENI YA ELIMU NA UHAMASISHAJI CHANJO YA SURUA MPIMBWE.

Written by Alex Sonna

Na.Elimu ya Afya kwa Umma.

Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa jamii umuhimu wa chanjo ya Surua, jumla ya watu 267, 261 wamefikiwa na elimu hiyo Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi kwa njia ya magari ya matangazo na kwa njia ya sinema huku watoto 43,384 wakipatiwa chanjo ya Surua.

Hayo yamebainishwa wilayani Mpimbwe Mkoani Katavi na Afisa Programu Elimu ya Afya kwa Ummma, Idara ya Kinga, Wizara ya Afya Simon Nzilibili wakati wa kuhitimisha kampeni ya siku 14 ya Elimu na Uhamasishaji wa chanjo ya Surua iliyoendeshwa kwa njia ya magari na njia ya simena iliyoanza Febururi 24.2023 hadi Machi 9 2023 ikiwa ni utekelezaji wa kampeni hiyo.

Akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Elimu ya Afya kwa Umma,Idara ya Kinga, Wizara ya Afya, Dkt. Tumaini Haonga , Bw.Nzilibili amesema katika kipindi cha takriban wiki 3, wawakilishi kutoka Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Timu za Afya za Halmashauri na Mkoa wamefanikiwa kufikia wananchi wengi na kuhamasika wazazi na walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo.

“Katika kampeni hii ya kutoa elimu na kuhamasisha chanjo ya Surua kwa njia ya magari ,njia ya sinema na kampeni ya nyumba kwa nyumba tumeweza kufikia watu 267, 261 na hii imesaidia sana wazazi na walezi wengi kuwa na hamasa”amesema Nzilibili.

Kuhusu takwimu za chanjo ya Surua, Nzilibili amesema jumla ya watoto 43,384 wamepata chanjo ya Surua katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoani Katavi.

“Kwa watoto ambao tuliona hali zao sio nzuri tuliwabeba kwenye magari, jumla ya Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii 110 tulisaidiana nao na mkakati mwingine ni upigaji wa mbiu ambapo tumefanikiwa kuchanja watoto 43,384 katika halmashauri ya Mpimbwe na mwitikio ulikuwa mkubwa sana na kila sehemu sinema ikioneshwa idadi ya uchanjaji iliongezeka mara mbili kabla ya sinema kuoneshwa” amesisitiza Nzilibili.

Hata hivyo,Nzilibili amewapongeza viongozi wote kuanzia serikali za mitaa hadi mkoa kwa kuonesha ushirikiano mkubwa katika kufanikisha zoezi hilo .

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mpimbwe Catherine Mashalla ameishukuru Wizara ya Afya kwa kuweka nguvu katika suala la elimu na uhamasishaji wa chanjo ya Surua kwani hatua hiyo imesaidia kuvuka lengo la Halmashauri ambapo walikuwa na lengo la kuchanja watoto 29, 000 lakini kutokana na hamasa hiyo wamechanja watoto 43,384.

“Nina shukuru sana kama Halmashauri tumepata Support ya kutosha kabisa kutoka Wizara ya Afya na kwa maana hiyo sasa tumeweza kufikia mafanikio haya hata ile trend ya kesi mpya nayo imeshuka leo tunazungumzia 56 kutoka mia na zaidi kuna maendeleo makubwa, wale wanaokwenda kulazwa sasa hivi tuna namba tu ya watu wawili, hata wale tuliowalenga halmashauri kuwachanja walikuwa ni 29,000 leo hii tunazungumzia zaidi ya elfu arobaini na tatu ni mafanikio makubwa”amesema Mashalla.

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Halmashauri ameomba nguvu kubwa iliyotumika katika elimu na hamasa ya chanjo ya Surua itumike pia katika uhamasishaji kwa jamii kuhusu masuala ya lishe ili kupunguza tatizo la udumavu na utapiamlo katika eneo halmashauri ya Mpimbwe na Katavi kwa Ujumla.

Mganga Mkuu Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi Martin Lohay amesema watu waliogundulika na maambukizi ya Surua katika halmashauri hiyo ni 1967 huku akiipongeza Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mkoa pamoja na Wizara ya Afya kwa kusaidia katika utoaji wa elimu na hamasa ya chanjo ya Surua.

Ikumbukwe kuwa katika kampeni ya siku 14 ya Hamasa ya chanjo na Elimu ya Surua Halmashauri ya Mpimbwe, jumla ya kaya 15,750 zilitembelewa, na magari ya matangazo na sinema kufika katika maeneo ya Majimoto, Kibaoni, Chamalendi, Mbende,Mwamapuli, Kasansa, Usevya, Ikuba, na Mamba huku watoto waliopona Surua ni 1749 kati ya wagonjwa 1967 na waliofariki hadi sasa ni watoto 16.

About the author

Alex Sonna