Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

RIDHIWANI KIKWETE AAGIZA HATUA KALI DHIDI YA WAGHUSHI WA BARUA ZA UHAMISHO

Written by Alex Sonna
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete,akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha siku tatu cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Taasisi na Mashirika ya Umma, Sekretarieti za Mikoa pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, ameagiza mamlaka za nidhamu kuchukua hatua za haraka dhidi ya watumishi wa umma waliobainika kughushi barua za uhamisho pamoja na wote waliohusika katika vitendo hivyo, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia ukiukwaji wa maadili na sheria za utumishi wa umma.

Waziri Kikwete ametoa kauli hiyo Juni 1, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha siku tatu cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Taasisi na Mashirika ya Umma, Sekretarieti za Mikoa pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Amesema Serikali imeendelea kupokea malalamiko kuhusu vitendo vya udanganyifu wa nyaraka, ikiwemo kughushi barua za uhamisho na ajira, hali inayokiuka maadili ya utumishi wa umma na kuathiri ufanisi wa utoaji huduma kwa wananchi.

Kikwete amesema tayari Serikali imeanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watumishi wanaohusika na vitendo hivyo, huku baadhi yao wakifikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.

Katika hatua nyingine, Waziri huyo amewataka waajiri kutokuwa chanzo cha ucheleweshaji wa malipo ya mafao kwa watumishi waliostaafu kwa kushindwa kutekeleza kwa wakati majukumu yao ya kushughulikia madai ya stahiki za wastaafu.

Amesema Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imekuwa ikipokea maombi mengi kutoka kwa wastaafu yanayohusu kucheleweshwa kwa mafao na stahiki mbalimbali ambazo zilipaswa kushughulikiwa katika taasisi wanazotoka.

“Waajiri wanapaswa kutimiza wajibu wao kwa wakati ili kuondoa usumbufu usio wa lazima kwa watumishi waliolitumikia Taifa kwa muda mrefu,” amesema.

Aidha, Kikwete amewasisitiza wataalamu wa rasilimaliwatu kuongeza matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika usimamizi wa utumishi wa umma ili kuboresha uwazi, uwajibikaji na kasi ya utoaji huduma kwa wananchi.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema bado kuna changamoto ya ucheleweshaji wa utoaji huduma kwa wananchi katika baadhi ya taasisi za umma kutokana na watumishi kutofuata taratibu, sheria na miongozo ya kiutendaji.

Mkomi amesema watumishi wa umma wanapaswa kuzingatia kikamilifu misingi ya utawala bora, uwajibikaji na weledi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa wakati na kwa ubora unaostahili.

Ameongeza kuwa kikao hicho kinatoa fursa kwa wataalamu wa rasilimaliwatu kujadili changamoto mbalimbali zinazokabili utumishi wa umma na kuweka mikakati ya kuimarisha utoaji wa huduma kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Kikao hicho kimewakutanisha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka taasisi mbalimbali za umma nchini kwa lengo la kujadili masuala ya kiutumishi, matumizi ya mifumo ya kidijitali na mbinu za kuboresha utendaji kazi katika sekta ya umma.







About the author

Alex Sonna