slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WATUMISHI WANAWAKE WIZARA YA ELIMU WATOA MISAADA MBALIMBALI SHULE YA MSINGI KIGWE VIZIWI

Written by Alex Sonna

WATUMISHI Wanawake Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, wakikabidhi Godoro  kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi ambapo wamesheherekea siku ya wanawake duniani kwa kukata keki,kupanda miti na kuwapatia mahitaji muhimu wanafunzi hao.

Kiongozi wa Msafara wa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Bi.Sylvia Lupembe,akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi iliyopo wilayani Bahi Mkoani Dodoma wakati wa kusherekea siku ya wanawake duniani kwa kukata keki,kupanda miti na kutoa misaada ya vifaa mbalimbali.

Kiongozi wa Msafara wa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Bi.Sylvia Lupembe,akimkabidhi Keki Mkuu wa Shule Kigwe Viziwi  Thadei Mhwagila kwa ajili Kukata Keki hiyo pamoja na  kusherekea na wanafunzi wenye mahitaji maalum.

WATUMISHI Wanawake Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,wakifurahi pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi wakati wakikata keki katika kusheherekea siku ya wanawake Duniani.

WATUMISHI Wanawake Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,wakigawa Keki pamoja na Juice kwa  Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi wakati wa kusheherekea siku ya wanawake Duniani.

   

WATUMISHI Wanawake Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, wakikabidhi Vifaa mbalimbali kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi ambapo wamesheherekea siku ya wanawake duniani kwa kukata keki,kupanda miti na kuwapatia mahitaji muhimu wanafunzi hao.

Kiongozi wa Msafara wa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Bi.Sylvia Lupembe,akiwa na Wanawake Wizara ya Elimu ,Mkuu wa Shule na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi wakipanda mti katika shule hiyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

Kiongozi wa Msafara wa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Bi.Sylvia Lupembe,akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi vifaa mbalimbali pamoja na kukata keki,Kupanda Miti katika  Shule ya Msingi Kigwe Viziwi iliyopo wilayani Bahi Mkoani Dodoma wakati wa kusherekea siku ya wanawake Duniani .

Mkuu wa Shule Kigwe Viziwi  Thadei Mhwagila,akitoa pongeza kwa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,kwa kwenda kuwafariji Wanafunzi wake kwa kula Keki pamoja na kugawa Misaada ya vifaa mbalimbali  wakati wa kusherekea siku ya wanawake Duniani .

WATUMISHI Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigwe Viziwi wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani ambapo wamekata keki,kupanda miti na kuwapatia mahitaji muhimu wanafunzi hao.

Na.Alex Sonna-BAHI

WATUMISHI Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, wamesheherekea siku ya wanawake duniani kwa kukata keki,kupanda miti na kuwapatia mahitaji muhimu wanafunzi wa  shule ya msingi Kigwe Viziwi   wilayani Bahi mkoani Dodoma.

Akizungumza kwa niaba ya wanawake  hao, katika shule hiyo, Sylvia Lupembe,amesema katika kusheherekea siku ya wanawake Duniani Watumishi Wanawake wa Wizara hiyo wameamua kusheherekea na wanafunzi hao kwa kukata keki pamoja nao.

Amesema kuwa pamoja na kukata keki wamekabidhi vifaa mbalimbali katika shule hiyo ambavyo ni Simtank lita 4000, Mashuka, Mipira ,Taulo za kike,Magodoro, Juice, Biscuit ,keki

“Tumekuja kama wazazi,walezi na wenzao kwa sababu ni eneo letu la kisera,tumekuja kuwaona na kuwatia moyo kwamba wanaweza na wapo shule wanaweza,”amesema Lupembe.
Amesema Wizara inasaidia kwa kuwekeza kiasi kikubwa kuhakikisha kuna kuwa na miundombinu rafiki ya wao kuweza kupata elimu.
“Leo tumekuja na mahitaji ambayo waliyataja wao wenyewe tumewaletea magodoro ambayo yatawafanya walale kwenye mazingira rafiki lakini tumewaletea mashuka na Matanki  ya maji pamoja na  taulo za kike kwa watoto wa kike,”amesema Lupembe
Amesema kwa sababu wapo katika msimu wa sherehe wameenda kufurahi pamoja na kula keki na wamepanda miti kwa  pamoja na wanafunzi hao.
“Mwaka huu wanawake tunasheherekea kwa kudhamini ubunifu teknolojia na sisi tumesikia kutoka kwao kwamba wanahitaji vifaa vya tehama vikiwemo Vishkwambi eneo hili tunaliona ni la kimkakati tunatakiwa kulifanyia kazi,”amesema Lupembe.
Amesema wanafurahi kuona  wanafunzi hao wanafundishwa malezi na stadi za maisha ambazo zitakuja kuwasaidia katika maisha yao.
“Sisi kama Wanawake  tunasema    tumetumia nguvu zetu na kidogo tulichokipata kula na kufurahi na  watoto wetu,”amesema Lupembe.
Kwa upande wake Mkuu wa Shule Kigwe Viziwi  Thadei Mhwagila amesema wanashukuru watumishi wanwake wa wizara ya Elimu kwa ugeni huo kwani wanafunzi wamefurahi.
Amesema Watumishi Wanawake whao wamewajengea upendo ambao wanahisi walikuwa wanaukosa katika maeneo wanayoishi.
“Tunapenda kushukuru kwa hicho wametoa msaada mkubwa kwa sababu watoto hawa wanaishi na Bibi zao mara nyingi wanakosa mahitaji ya msingi,”amesema Mhwagila
Hata hivyo ametoa ushauri kwa wazazi na walezi kuwaona watoto wote wapo sawa na kuwathamini watoto hao.
“Nitoe shukrani kwa Serikali kwa kuwajali hawa watoto wametuletea fedha kujenga mabweni wataishi katika mazingira mazuri,”amesema Mhwagila
Naye,Afisa Elimu,Elimu Maalum,Idara ya Elimu Msingi,Wilaya ya Bahi,Sarah Chizingwa amewashukuru Wanawake wa Wizara ya hiyo  kwa kutoa misaada hiyo na kuwaona watoto hao.
“Tunafurahi kwa upendo mliotuonesha sisi kwa kuja kuwaona wototo wetu wenye ulemavu ambao ni viziwi tumepokea zawadi zenu na Mungu awabariki pale mlipuoungukiwa Mungu awaongezee tunawakaribisha wakati mwingine Bahi,”amesema Chizingwa 

About the author

Alex Sonna