Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Uncategorized

WAZIRI BITEKO AMTAKA KATIBU MKUU MPYA KUSIMAMIA MALENGO YA WIZARA ILI YAKAMILIKE KWA WAKATI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Madini Dotto Biteko, akizungumza katika kikao cha kumtambulisha katibu mkuu Kheri Mahimbali, kwa watumishi wa idara zote za wizara ya madini hafla iliyofanyika leo Machi 10,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha katibu mkuu Kheri Mahimbali, kwa watumishi wa idara zote za wizara ya madini hafla iliyofanyika leo Machi 10,2023 jijini Dodoma.

KATIBU  Mtendaji Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha katibu mkuu Kheri Mahimbali, kwa watumishi wa idara zote za wizara ya madini hafla iliyofanyika leo Machi 10,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Watumishi wa wakimsikiliza Waziri wa Madini Dotto Biteko, (hayupo pichani) wakati wa  kikao cha kumtambulisha katibu mkuu Kheri Mahimbali, kwa watumishi wa idara zote za wizara ya madini hafla iliyofanyika leo Machi 10,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Madini Dotto Biteko, akiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya  kikao cha kumtambulisha katibu mkuu Kheri Mahimbali, kwa watumishi wa idara zote za wizara ya madini hafla iliyofanyika leo Machi 10,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Madini Dkt. Dotto Biteko, amemtaka  katibu mkuu wa wizara hiyo aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan,kusimamia malengo na kuyafanyia kazi ili yakamilike kwa wakati.

Hayo  ameyasema hayo leo Machi 10, 2023 jijini Dodoma kwenye kikao chake na watendaji wa Wizara na Tasisi zake  wakati akimkaribisha na kumtambulisha Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo, Kheri Mahimbali.

Dkt.Biteko amesema kuwa katika wizara hiyo wapo watu wa aina mbalimbali ambao katibu mkuu atakwenda kufanya nao kazi hivyo anapaswa kuwa makini ili kuhakikisha kazi zinafanyika na kufikia malengo ya serikali kama ambavyo yamepangwa.

“Ndugu katibu mkuu hapa unaowaona wapo watu wa kila aina wapo ambao ukiwapa kazi wao wanaangalia ‘dead line’ hata kama kazi uliwapa haijakamilika wanakuletea, lakini wapo ambao kazi hawamalizi kwa wakati na wala majibu hawakupi.

“lakini pia wapo ambao wao kazi hawafanyi kabisa, lakini wapo wengine ambao wao ukiwapa kazi wanafanya na ukiwarekebisha wanafurahi kurekebishwa lakini wengine ukiwarekebisha wanakukasilikia”amesema Biteko

Aidha, amesema kutokana na muda mwingi watumishi kuutumia wakiwa kazini katibu mkuu anatakiwa kuwafanya waajria kujiona wao ni wa muhimu katika wizara hiyo.

”Nakupongeza Katibu Mkuu mpya wa Wizara Mahimbali kwa uteuzi wako , Wizara na Taasisi zake itaendelea kukupa ushirikiano wa kutosha lengo likiwa ni kuifanya Sekta ya Madini kuwa miongozi mwa sekta zinazochochea uchumi wa nchi.”amesema Dk.Biteko

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa, amesema  yapo mambo mengi ambayo wameyafanyia kazi hadi sasa ikiwemo kupunguza idadi ya watu waliokuwa wamekaimu katika nafasi mbalimbali ndani ya wizara hiyo.

“Hivyo tunakuomba katika nafasi ambazo bado hazijafanyiwa kazi uone ni namna gani zinafanyiwa kazi ili maeneo yanayokaimiwa yapate watu na kazi ziendele kwa malengo tulijiwekea”amesema Dk. Kiruswa

Naye, Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Madini Kheri Mahimbali, amewataka wataalam wa Wizara kuweka msukumo kwenye madini ya Kimkakati kutokana na umuhimu wa madini hayo katika kuyafungamanisha na sekta nyingine za kiuchumi.

‘’Tumeletwa hapa kuongeza nguvu, sikuja kumwondoa yoyote kwenye nafasi yake, bado tuna kazi mbele yetu na ninaamini katika kushirikiana tutafika mmbalimbali katika kuyatimiza malengo ya Sekta ya Madini’’.amesema Mahimbali

About the author

Alex Sonna