Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI:  BILIONI 1.5 KUKAMILISHA UJENZI VITUO VYA POLISI  IKUNGI, MKALAMA MKOANI SINGIDA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akisalimiana na askari wa Kituo cha Polisi Nduguti, Wilayani Mkalama, Mkoa wa Singida, wakati alipokuwa anawasili kwa ajili ya kufanya ziara Wilayani humo, leo. Katikati ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Stella Mutabihirwa. Amesema Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akikagua jengo la Kituo vha Polisi Ikungi Mkoani Singida ambalo limesimama ujenzi kwa zaidi ya miaka saba, wakati alipofanya ziara ya kukagua kituo hicho pamoja na Mkalama Mkoani humo, leo. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Stella Mutabihirwa.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson, wakati alipokuwa anatoka kukagua jengo la Kituo vha Polisi Ikungi Mkoani Singida ambalo limesimama ujenzi kwa zaidi ya miaka saba, wakati alipofanya ziara ya kukagua kituo hicho pamoja na cha Wilaya ya Mkalama Mkoani humo, leo. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akitoka Kituo cha Polisi Nduguti, Wilayani Mkalama, Mkoa wa Singida, kufanya ukaguzi wakati wa ziara yake Wilayani humo, leo. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Stella Mutabihirwa.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimweleza jambo Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson (kushoto), wakati alipokuwa anakagua jengo la Kituo vha Polisi Ikungi Mkoani Singida ambalo limesimama ujenzi kwa zaidi ya miaka saba. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo. Katikati ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Stella Mutabihirwa. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na askari na maafisa polisi wa Kituo cha Polisi Nduguti, Wilayani Mkalama, Mkoa wa Singida, wakati alipofanya ziara Mkoani humo, leo, kwa ajili ya kukagua ujenzi wa vituo vya Polisi Mkalama na Ikungi. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na askari na maafisa polisi wa Kituo cha Polisi Nduguti, Wilayani Mkalama, Mkoa wa Singida (hawapo pichani), wakati alipofanya ziara Mkoani humo, leo, kwa ajili ya kukagua ujenzi wa vituo vya Polisi Mkalama na Ikungi. Serikali imetenga Shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Ikungi, na Shilingi milioni 476 Kituo cha Polisi Mkalama Mkoani humo.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Na Felix Mwagara, MoHA Singida.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema vituo vya Polisi vya Wilaya ya Ikungi na Mkalama Mkoani Singida ambavyo vilikwama ujenzi wake tangu mwaka 2015 sasa vitaanza kujengwa muda wowote kuanzia sasa.

Waziri Masauni alisema hayo baada ya kuvikagua vituo hivyo alipofanya ziara ya siku moja mkoani humo, na kuwaambia waandishi wa habari kuwa ujenzi wa vituo hivyo utaanza mara moja kwa kuwa bajeti ya ujenzi wa vituo hivyo ilishatengwa katika mwaka huu wa fedha.

Hivi karibuni Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ambaye alifanya ziara mkoani humo naye alimtaka Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa majibu kwa kusimama kwa ujenzi wa vituo hivyo.

Waziri Masauni ambaye aliwasilia Mkoani humo alisema kuwa serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kazi kwa Polisi ili wananchi nchini wapate huduma karibu na maeneno yao, hivyo katika bajeti ya mwaka huu wa fedha Serikali imetenga Bilioni 1.1 kukamilisha kituo cha Polisi Ikungi na Milioni 476 kwajili ya Kituo cha Polisi Mkalama.

“Serikali ya Rais Samia imeendelea kuboresha Mazingira ya Polisi ambayo yanaonekana kuwa duni kupitia mradi wa kujenga vituo vya Polisi nchini, tayari katika bajeti ya mwaka huu tumetenga Bilioni 1.1 kwajili kukamilisha Kituo cha Polisi Ikungi na Milioni 476 kwaajili ya Kituo cha Polisi Mkalama” Alisema Mhandisi Masauni,” alisema Masauni.

Mhandisi Masauni amesema ujenzi wa vituo vya Polisi vya Mkalama na Ikungi utafanyika kwa awamu hivyo kufika kwake kwenye Wilaya hizo ni Utekelezaji wa Maagizo ya Katibu Mkuu Chongolo pamoja na kuangalia namna nzuri ya kumalizia ujenzi huo.

Aidha, Mhandisi Masauni amewatoa hofu Askari Polisi kuhusu miundombinu yao ambapo amemwakikishia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida kuwa hivi karibuni atarudi kufanya ziara ya kukagua miundombinu ya Jeshi hilo la Polisi.

“Niwatoe hofu askari pamoja na wananchi tunajua mazingira bado sio rafiki lakini kwa kuwa tumeshaanza kulifanyia kazi na kwamba ujenzi utakamilika katika muda uliopangwa” aliongeza Mhandisi Masauni.

Waziri Masauni amemaliza ziara yake ya siku moja Mkoani humo ambapo aliambatana na viongozi wa Wilaya zote pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Mkoani humo.

About the author

Alex Sonna