Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Michezo

JUKWAA LA MAENDELEO YA UTAMADUNI KUSHIRIKIANA KUKUZA UTAMADUNI NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia) akiteta jambo na Bw. Leo Näscher Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa (kushoto) Machi 9, 2023 katika ofisi za Wizara hiyo yenye Makao yake Makuu katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Bw. Leo Näscher, Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao na Bw. Saidi Yakubu, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo (kulia) Machi 9, 2023 katika ofisi za Wizara hiyo yenye Makao yake Makuu katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Bw. Leo Näscher, Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa (kushoto) akisaini kitabu cha WAGENI Ofisi Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Machi 9, 2023 katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Na Eleuteri Mangi-WUSM,Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Leo Näscher kuhusu ushirikiano katika eneo la Utamaduni na Sanaa baina ya nchi hizo mbili.

Kikao hicho kimefanyika Machi 9, 2023 katika ofisi za Wizara hiyo yenye Makao yake Makuu katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Bw. Yakubu ameeleza azma ya Serikali katika kusimamia sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo ambazo zinatoa ajira kwa vijana wengi na zina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini na namna watakavyoshirikiana katika kubadilishana utaalam na uzoefu katika sekta hizo.

Naye Bw. Leo Näscher Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa amesema wana Jukwaa la Maendeleo ya Sekta ya Utamaduni (DGP) ambalo linaundwa na Balozi mbalimbali ambapo kwa sasa linaongozwa na Wenyeviti ambao ni Uholanzi na Uswisi wataendelea kushirikiana na Wizara hiyo na watakuwa kiunganishi na wadau mbalimbali wa sekta za Utamaduni na Sanaa wakisaidia katika nyanja za utaalam na ushauri.

About the author

Alex Sonna