Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Written by mzalendoeditor

 

Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yenye kauli mbiu Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsiayamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakishangilia wakati wakiingia uwanjani walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa tayari kuanza maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wilayani Kondoa, Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- WFM, Dodoma)

About the author

mzalendoeditor