Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA VIONGOZI MASHIRIKA YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Viongozi wa Mashirika ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,katika mazungumzo yake Rais,aliyataka mashirika hayo kubadili  mifumo ya majukumu yao kwa kuleta tija zaidi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Mashirika mbali mbali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ambapo  katika mazungumzo yake Rais,aliyataka mashirika hayo kubadili  mifumo ya majukumu yao kwa kuleta tija zaidi mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Mashirika mbali mbali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor