Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

”NENDENI MKASIKILIZE NA KUTOLEA UFAFANUZI MATATIZO YA WANANCHI’-NDEJEMBI

Written by Alex Sonna

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deogratius Ndejembi ,akizungumza  wakati akifunga Kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofungwa leo Februari 25,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Naibu  Waziri Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deogratius Ndejembi,wakati akifunga Kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofungwa leo Februari 25,2023 jijini Dodoma.

 KATIBU Mkuu, Ofisi ya Rais -Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Dkt. Laurean  Ndumbaro,akizungumza wakati wa  Kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofungwa leo Februari 25,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI wa Idara ya Serikali za Mitaa, OR – TAMISEMI Bi. Angelista Kihaga,,akizungumza wakati wa Kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kilichofungwa leo Februari 25,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deogratius Ndejembi, amewataka watumishi kujenga tabia ya kusikiliza na kutolea ufafanuzi matatizo ya wananchi na wasisubiri mpaka taarifa ziwafikie viongozi wa juu.

Naibu Waziri Ndejembi ameyasema hayo leo Februari 25,2023,Jijini Dodoma ,wakati akifunga kikao kazi cha siku tatu cha Makatibu Tawala Wasaidizi na Wakuu wa Idara katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Amesema kuwa wanapaswa kukerwa sana na matatizo ya wananchi hususan wale wa Vijijini ambao wengi wao ni maskini wanaofika kutaka huduma kutoka kwa watumishi wanaowasimamia.

“Sio lazima viongozi wa juu ndio watolee ufafanuzi malalamiko ya wananchi wakati nyinyi mpo na mnawajibu wa kufanya hivyo kabla hayajafika mbali na imani yangu ni kwamba mtakwenda kuyatumia mafunzo haya katika kutatua changamoto za wananchi,” amesema Ndejembi

Aidha amesema kwa kuzingatia Utawala wa Sheria, Watumishi wa Umma na Wananchi katika maeneo yenu ya utawala wataweza kupata haki na stahiki zao kwa wakati bila kukwamishwa au kusumbuliwa wakati wa kupata huduma.

Hata hivyo Ndejembi amewaagiza watendaji hao kusimamia nidhamu ya watumishi kwa kuzingatia sheria za maadili ya utumishi wa umma na kutenda haki wakati wa kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi.

Amewasisitiza kuongoza kasi katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kuziba mianya yote ya rushwa ,pamoja na kakusanya mapato ya serikali na kuwasimamia watumishi wenye dhamana ya kukusanya mapato wafanye kazi kwa uaminifu ili kufikia malengo ya serikali.

”Ni matumaini yangu kuwa kupitia Kamati za Kudhibiti Uadilifu zilizopo katika Halmashauri zenu suala hili mtalipa umuhimu na kuhakikisha kuwa mianya ya rushwa inadhibitiwa.”amesisitiza Ndejembi

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Halmashauri ya wilaya ya Rombo, Bi.Judith Mahende amesema kuwa wamepokea mafunzo na maelekezo yote waliyopatiwa katika kikao kazi hicho na watakwenda kuyafanyia kazi kwa ajili ya maslahi ya taifa na wananchikwa ujumla.

“Tumeyapokea mafunzo na maelekezo yote na tutakwenda kuyafanyia kazi katika halmashauri zetu,kwa mfano suala la nidhamu kwa watumishi wa umma,mapambano dhidi ya rushwa na ukusanyaji na usimamizi wa mapato ya serikali tutahakikisha yanatumika kama ilivyopangwa na kwa wakati,”amesema Mahende

About the author

Alex Sonna