Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

CHONGOLO AYATAKA MABARAZA YA MADIWANI NCHINI KUFANYA KAZI ZA KUJADILI MASLAHI YA WANANCHI

Written by Alex Sonna
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Itikadi na Uenezi, Ndugu Sophia Mjema,Akizungumza  na Wananchi wa Kinole wakati msafara  wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo , ukiwa njiani kwenda Kata ya Tegetelo, kukagua Mradi wa Maji wa Morong’anya, Kulia ni katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Itikadi na Uenezi, Ndugu Sophia Mjema,Akizungumza  na Wananchi wa Kinole wakati msafara wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo , ukiwa njiani kwenda Kata ya Tegetelo, kukagua Mradi wa Maji wa Morong’anya.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Itikadi na Uenezi, Ndugu Sophia Mjema,Akishihirikiana na akina mama ntilie kupika chakula katika Kibanda cha Rehema Shomali,wakati msafara Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo ,Uliposimama kuzungumza na wananchi na Kushiriki shughuli za kijamii ukiwa njiani kwenda Kata ya Tegetelo, kukagua Mradi wa Maji wa Morong’anya.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, katikati mwenye kofia  akipata chakula  na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Sofia Mjema, Katibu wa NEC Oganaizesheni Issa Haji Gavu, Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Tale Tale pamoja na wananchi wengine katika mgahawa wa mama lishe katika Kibanda cha Rehema Shomali kata ya Kinole Mororgoro Vijijini akiendelea na ziara yake mkoani humo. Leo tarehe 3 Februari, 2023.(Picha Zote  na Fahadi Siraji CCM)
***********************
 
KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameyataka mabaraza ya madiwani nchini kufanya kazi za kujadili maslai ya wananchi na sio kurumbana kwa maslai yao binafsi.
 
Katibu mkuu Chongolo alisema hayo  jana  wakati akizungumza na  wanachama wa CCM katika kijiji cha Kinole, jimbo la  Morogoro kusini Mashariki ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tisa Mkoani Morogoro yenye lengo la kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo.
 
“Madiwani kazi yenu ni kujadili hoja zenye tija na sio kuvutana bila sababu za msingi” alisema.
 
Alisema amepata taarifa kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo Hamis Tale kuwa Serikali ilipeleka fedha za kituo  cha afya cha Kinole lakini fedha hizo ziliondolewa baada ya kutokea marumbano wapi kituo hicho kijengwe.
 
“Naenda kuziwekea msisitizo fedha hizo zirudishwe ndani ya miezi miwili  fedha zitakuwa zimefika “alisema..
 
Akizungumzia elimu Chongolo aliwataka wazazi katika wilaya ya Morogoro vijijini kuacha tabia za kuwafundisha watoto mambo ya wakubwa kabla ya umri wao.
 
“Zamani mtoto wa kike akimaliza darasa la saba anachezwa ngoma kisha anaolewa, acheni kuwafanya watoto wa kike mahari”alisema
 
Pia aliwataka  wazazi hao kuacha kuwageuza    watoto kike kuwa  wafanyakazi wa ndani na badala yake wawapeleke shule ili waweze kuhudunia familia zao kwa tija.
 
Kwa upande wa Afya, katibu huyo aliwataka kuacha kujitibu kwa waganga wa jadi na badala yake watumie huduma za vituo vya afya.
 
“Serikali imewekeza fedha nyingi katika vituo vya afya na hospitali hakuna sababu ya kwenda kutibiwa kwa waganga wa jadi”alisema.
 
Awali katibu wa shina namba 2  Shomari Mkude  alisema katika vikao vyao vya shina hujadili  kuhusu masuala ya kilimo  na kumuhakikishia Chongolo wanatarajia kuvuna mazao ya kutosha ifikapo mwezi Aprili na hivyo hawatakuwa na njaa.
 
Pia katibu huyo wa tawi alisema wanamshukuru Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea madarasa mapya ya kutosha hali itakayowafanya wanafunzi kusoma vizuri .
 
Katibu huyo wa tawi  alitaka kujua kuhusu ujenzi wa barabara ya kutoka Bigwa hadi Kisaki kwa kiwango cha lami unaanza lini.
 
Akijibu hoja hiyo meneja wa wakala. wa barabara mkoa wa Morogoro Alinanuswe Kyamba alisema Machi 8 watafungua zabuni ya barabara hiyo ambapo kufikia mwezi mwaka huu mkandarasi atakuwa ameanza kazi.
 
Kwa Upande wake Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Oganaizesheni, Issa Haji Gavu amewasisitiza Wana CCM na wananchi kwa ujumla kuendelea kuzalisha chakula cha kutosha ili kuwa na uhakika wa chakula.

About the author

Alex Sonna