Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA ZIMBABWE

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya  mazungumzo na Makamu wa Rais Zimbabwe ambaye pia ni Waziri wa Afya wa nchi hiyo Mheshimiwa Generali ( Mstaafu) Constantino Chiwenga,Mazungumzo yaliofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 01 Februari 2023.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja Makamu wa Rais Zimbabwe ambaye pia ni Waziri wa Afya wa nchi hiyo Mheshimiwa Generali (Mstaafu) Constantino Chiwenga mara baada ya Mazungumzo yao  yaliofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 01 Februari 2023.

*************************

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 01 Februari 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais Zimbabwe ambaye pia ni Waziri wa Afya wa nchi hiyo Mheshimiwa Generali (Mstaafu) Constantino Chiwenga,Mazungumzo yaliofanyika Jijini Dar es salaam.

Katika Mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema Tanzania inathamini urafiki wa kihistoria kati ya nchi hizo mbili ambao umekuwepo tangu enzi za harakati za Ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika.

– Advertisement –

Amesema Tanzania itaendelea kudumisha na kukuza zaidi ushirikiano uliopo pamoja na kuungana na nchi hiyo kupinga vikwazo mbalimbali vinavyoikabili.

Makamu wa Rais amesema Tanzania inaunga mkono Ujenzi wa Makumbusho ya Historia ya Ukombozi wa Afrika inayojengwa Mjini Harare Zimbabwe na  inaipongeza sana Zimbabwe kwa kuamua kuandika na kuhifadhi historia muhimu ya vuguvugu la Ukombozi hususani kusini mwa Afrika.

Dkt. Mpango amesema Tanzania inalenga kuendelea kukuza ushirikiano wa kibiashara na Zimbabwe pamoja na sekta za kilimo, utalii, uwekezaji, kukuza lugha ya Kiswahili pamoja na elimu ya juu.

Kwa Upande wake Makamu wa Rais Zimbabwe Mheshimiwa Generali (Mstaafu) Constantino Chiwenga amesema Tanzania ni nchi ambayo imetoa mchango mkubwa kwa Zimbabwe na nchi za Kusini Mwa Afrika katika harakati za ukombozi ambao kamwe hautosahaulika.

Amesema kwa sasa mataifa haya yanapaswa kujielekeza zaidi katika ushirikianio wa kiuchumi kwa kuwafanya wananchi wake kutumia fursa ya ushirikiano uliopo kukuza uchumi wao na kujiletea maendeleo na kurithisha ushirikiano huo vizazi na vizazi.

– Advertisement –

Generali (Mstaafu) Constantino Chiwenga amesema kwa sasa Zimbabwe inaednelea na Ujenzi wa Barabara kutoka Harare kupitia Zambia ambayo inalenga kupunguza zaidi ya kilometa 300 katika kuifikia bandari ya Dar es salaam hiyo hakuna budi kuongeza ushirikiano katika sekta za madini, mawasiliano, kilimo, sekta ya fedha, ulinzi na usalama.

Aidha ameishukuru Tanzania kwa kuungana nan chi hiyo katika kupinga vikwazo vya kiuchumi pamoja na kuiunga mkono katika ujenzi wa Makumbusho ya Historia ya Ukombozi wa Afrika Jijini Harare.

Pia Chiwenga amesema inapaswa mataifa haya mawili kutumia vema fursa za uwekezaji zilizopo katika nchi hizo pamoja na fursa ya Ukanda Huru wa Kibiashara Barani Afrika kwa kujiletea maendeleo.

About the author

Alex Sonna