Featured Kitaifa

RAIS ALHAJ DK. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA MASJID NOUR MUHAMMAD KWAMCHINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023 na Sheikh Othman Maalim na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais)  na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Nour Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 20-1-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutuba ya Ijumaa ikisomwa na Sheikh Othman Maalim, iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh Khalid Ali Mfaume.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchana Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023 na Sheikh Othman Maalim na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023 na Sheikh Othman Maalim.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Sheikh.Othman Maalim, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 20-1-2023.(Picha na Ikulu),

About the author

mzalendoeditor