Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

KATIBU MKUU TUGHE TAIFA AIPONGEZA REA USHIRIKISHAJI WATUMISHI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Herry Mkunda akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Baraza hilo liliketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mussa Muze, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Baraza hilo kilichoketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Aziz Abbu akizungumza wakati wa kikao cha Baraza hilo kilichoketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Katibu Mkuu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma, Samwel Nyungwa akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Baraza hilo liliketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Swalehe Kibwana, akichangia maoni wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi. Kikao hicho kiliketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa Herry Mkunda, Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mussa Muze na Katibu wa Baraza hilo Aziz Abbu, wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi. Kikao hicho kiliketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakishiriki kikao cha Baraza hilo kilichoketi jijini Arusha, Januari 20, 2023 kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.

………………………………………

Veronica Simba – Arusha

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), ngazi ya Taifa, Herry Mkunda ameipongeza Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kujenga uhusiano mzuri baina yake na wafanyakazi katika kuhakikisha wanatekeleza kwa tija malengo ya Taasisi kwa manufaa ya Watanzania.

Ametoa pongezi hizo Januari 20, 2023 jijini Arusha, wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la REA, lililoketi kujadili Bajeti ya matumizi ya Wakala hiyo kwa Mwaka 2023/24.

Akitolea ufafanuzi chimbuko la pongezi zake kwa REA, Mkunda alibainisha kuwa wafanyakazi katika baadhi ya Taasisi huwa hawashirikishwi na Menejimenti kwa kiwango kinachotakiwa katika kujadiliana na kupanga kwa pamoja namna nzuri ya kutekeleza malengo ya Taasisi ili kupata matokeo chanya suala ambalo ni tofauti kwa REA kutokana na ushirikiano uliopo baina ya pande hizo mbili.

“Kwahiyo niwapongeze Menejimenti ya REA pamoja na Wafanyakazi kwa kukubali kukutana pamoja na kukaa Meza moja kujadiliana kwa lengo la kuhakikisha kwamba malengo ya Taasisi yanatekelezwa kikamilifu na kwa tija,” amesema Mkunda.

Aidha, Katibu Mkuu huyo wa TUGHE Taifa, amesema ni jambo la kujivunia na kupongezwa kwa REA kuwa na zaidi ya asilimia 95 ya wafanyakazi wake ambao ni wanachama wa TUGHE.

Pamoja na pongezi hizo, Mkunda amewaasa wafanyakazi wa REA kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidi ili kuwezesha kufikia malengo ya Mwajiri ambaye ni Serikali ambaye anataka Watanzania wapate huduma njema katika sekta ya nishati vijijini.

Amesema katika baadhi ya Taasisi, wafanyakazi wamekuwa wakichangia kutofikiwa malengo ya Taasisi kutokana na vitendo vya ubadhirifu pamoja na uvivu hali ambayo inasababisha kurudisha nyuma jitihada za Mwajiri.

“Niwaombe tushirikiane kwa pamoja katika mipango na utendaji kazi ili kuhakikisha tunafikia malengo ya Mwajiri,” amesisitiza Mkunda.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA ambaye kwa nafasi yake ndiye Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la REA, Mwakilishi wake katika kikao hicho Musa Muzze alimhakikishia Kiongozi huyo wa TUGHE Taifa kuwa Menejimenti ya REA imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wafanyakazi wanashirikishwa ipasavyo katika kila jambo linalohusu Taasisi.

“Tofauti na baadhi ya maeneo mengine, kwa upande wa REA, Menejimenti imekuwa mstari wa mbele katika kuwathamini wafanyakazi. Mfano mzuri ni kwamba hata uanzishwaji wa Baraza la Wafanyakazi REA, Menejimenti ndiyo ilihamasisha na kuhakikisha suala hilo linafanikiwa,” amefafanua Muzze.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la REA, Swalehe Kibwana ameushukuru Uongozi wa Wakala hiyo kwa kutoa ushirikiano wa hali ya juu kwa wafanyakazi katika masuala ya kazi n ahata masuala yanayowahusu wafanyakazi wenyewe.

“Sisi tuna bahati. Mojawapo ya bahati tulizopata ni ushirikishwaji, jambo ambalo kwakweli hatuna budi kutoa shukrani kwa Uongozi,” amesisitiza Kibwana.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma, Samwel Nyungwa ambaye ameungana na Katibu Mkuu Taifa kuipongeza REA kwa ushirikiano mzuri katika kutekeleza majukumu ya Taasisi kwa manufaa ya Taifa.

About the author

Alex Sonna