Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI CHANA APIGA MARUFUKU UINGIZAJI MIFUGO HIFADHI ZA MISITU NCHINI

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana,akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana,akipata maelezo ya mchoro kutoka kwa Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bw.Joseph Mafuru kabla ya kuanza kupanda miti katika kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana,akisalimiana na wanafunzi pamoja na wananchi  kabla ya kuanza kupanda miti katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana, akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana,akiwasaidia Wanafunzi kuweka udongo wakati wakipanda  miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Abdallah Mitawi, akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga,akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri,akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Diwani wa kata ya Ipagala  Mhe.Dotto Gombo,akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph,akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba, akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Joseph Mafuru,akipanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana,akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Abdallah Mitawi, akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu .

Diwani wa kata ya Ipagala  Mhe.Dotto Gombo,akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti Katika Eneo la Swaswa Bwawani kata ya Ipagala  jijini Dodoma leo Januari 11, 2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59, ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, mwaka huu.

…………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk.Pindi Chana,amepiga marufuku uingizaji wa mifugo kwenye hifadhi za misitu na maeneo mbalimbali yaliyopandwa miti ili kuepuka uharibifu wa mazingira nchini.

Marufuku hiyo imetolewa leo Januari 11,2023 wakati wa  zoezi la upandaji miti katika eneo la Swaswa Kata ya Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar yatakayofanyika Januari 12, mwaka huu.

Dkt.Chana amesema kuwa, uharibifu wa mazingira unasababishwa na wananchi kuingiza mifugo yao katika hifadhi za Misitu.

“Tuanatakiwa kuilinda na kuitunza misitu kwa sheria zetu ni marufuku mtu yeyote kuingiza mifugo katika misitu hii tuliyonayo ili tuilinde itupatie mvua na kuondokana na athari za mabadiliko tabianchi”amesema Dkt.Chana

Amesema kuwa  kama watu watandelea kuharibu mazingira ukame utaendelea kuisumbua nchi na kushindwa kufikia malengo yake ambayo imejiwekea katika miradi mbalimbali.

“Hata bwawa la kufua umeme la mto rufiji kupitia mradi wa Mwalimu Nyerere tutashinda kulijaza maji kama ambavyo tumejiwekea kwakuwa hatutakuwa na mvua za kutosha za kujaza maji katika mradi huu”ameeleza

 Aidha amepiga marufuku tabia ya wakulima nchini kuandaa mashamba kwa kuchoma moto badala yake watumie njia mbadala ili kuendelea kutunza hifadhi Misitu.

“Uchomaji moto misitu siyo jambo sahihi wananchi tunapaswa kutafuta namana nyingine ya kuandaa mashamba siyo kuchoma moto kwakuwa tunaathiri sana misitu yetu ambayo inantupatia mvua na kuondokana na ukame ambao umekuwa ukitutesa katika sekta ya maji na umeme”amesema

Kwa upande wake Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Abdallah Mitawi,a mesema kuwa katika madhimisho ya Mapinduzi  Matukufu ya Zanzibar wanatarajia kupata miti 5,300 kwa muda wa siku tatu zilizopangwa.

Naye Diwani wa Kata ya Ipagala, Gombo Dotto amesema kuwa Mtu atakayeingiza mifugo yake katika eneo ilipopandwa miti  asahau kupata mifugo yake  kwani itakamatwa na sheria itafuata mkondo wake .

About the author

Alex Sonna