Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WAZIRI BITEKO ATAKA KAMPUNI ZA MADINI UJENZI KUANDAA MPANGO WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII

Written by Alex Sonna

Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko akizungumza katika machimbo ya kokoto eneo la King’ori katika kampuni ya Rocktronic Ltd wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha alipotembelea Januari 6, 2023

 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko akiwa katika machimbo ya kokoto eneo la King’ori katika kampuni ya Rocktronic Ltd wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha alipotembelea Januari 6, 2023.

……………………………..

*#Wachimbaji Mawe ya Madini waaswa kuchimba kwa amani*

Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameitaka Kampuni ya Madini ujenzi ya Rocktronic Ltd inayochimba kokoto kuandaa mpango wa huduma kwa jamii inayozunguka mgodi huo kuiwezesha jamii kunufaika na rasilimali madini iliyopo katika maeneo hayo.

Hayo yamebainishwa Januari 6, 2023 alipotembelea machimbo ya kokoto eneo la King’ori katika kampuni ya Rocktronic Ltd wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Dkt. Biteko amesema, mpango huo utasaidia kuwa na malengo ya huduma kwa jamii ili kuleta maendeleo na kuondoa migongano inayoweza kujitokeza siku za baadae na wakazi wa eneo hilo. Amesema mpango huo utasaidia katika kujenga mahusiano mazuri na jamii.

Aidha, ameitaka kampuni hiyo kuandaa taarifa ya upembuzi yakinifu ili kuiwezesha kujua muda wa uhai wa mgodi, kiasi cha mashapo na kiasi kitakacholipwa kwa Serikali.

Akizungumzia utunzaji wa mazingira, Dkt. Biteko ameielekeza kampuni hiyo kuanza kupanda miti katika maeneno ya machimbo ili kuhifadhi mazingira. Ametoa wiki mbili za kuanza kupanda miti na kuitaka kampuni hiyo kuajiri afisa mazingira.

Amesisitiza kampuni hiyo, kuandaa mpango wa uchimbaji ili kuacha kuchimba kwa kuhama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine na kueleza kuwa mpango huo utasaidia kuwa na uchimbaji wenye tija na endelevu.

Naye, Mkurugenzi wa Kampuni ya Rocktronic Ltd Prajesh Chauhan amesema kuwa kampuni hiyo imefanikiwa kutoa ajira ndani ya kata ya Malula kwa wazawa wenye ujuzi na wasio na ujuzi wapatao 118.

Katika hatua nyingine amesema kampuni imechangia shughuli za maendeleo ndani na nje ya kata kwa kutoa vifaa mbalimbali kama vile kokoto, mawe, vifusi na fedha ili kusaidia miradi ya maendeleo ya wananchi katika Sekta ya elimu, afya, maji na barabara za ndani ya vijiji.

Kwa upande wake, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Arusha Mhandisi Alphonce Bikulamchi amesema Ofisi ya Madini Arusha itaendelea kushirikiana na wadau wote ikiwemo ofisi ya Mkuu wa Wilaya Arumeru na Mkurugenzi kwa lengo la kuongeza ufanisi na tija katika shughuli za uchimbaji madini.

Ameongeza kwamba, ofisi itaendelea kutoa elimu juu ya Sheria ya Madini Sura 123 na Kanuni zake pamoja na miongozo mingine ya Serikali ili kuchangia ukuaji wa Sekta ya Madini kwa ujumla.

About the author

Alex Sonna