Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

DODOMA YAJIPANGA KIVINGINE KUBORESHA ELIMU

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza na watendaji wakuu wa Elimu katika Mkoa wa Dodoma katika kikao kazi kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa TAG Dodoma na kuwakutanisha  Maafisa Elimu Mkoa,  Mthibiti Ubora wa Shule Kanda, Maafisa Elimu wa Halmashauri, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari

Sehemu ya Watendaji wakuu wa Elimu katika Mkoa wa Dodoma katika kikao kazi kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa TAG Dodoma na kuwakutanisha  Maafisa Elimu Mkoa,  Mthibiti Ubora wa Shule Kanda, Maafisa Elimu wa Halmashauri, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari

Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Bw. Gift Kyando akizungumza na wadau wa elimu katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa TAG Dodoma kwa lengo la kuweka mikakati ya elimu kwa mwaka 2023.

……………………….

Idara ya elimu Mkoa wa Dodoma imefanya kikao kazi cha wadau wa elimu Mkoa kilichohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiwa ndiye mgeni rasmi wa kikao hicho kililichofanyika katika ukumbi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) eneo la Mipango Jijini Dodoma.

Katika kikao hicho kilicholenga kujadili mpango kazi wa muelekeo wa namna ya kuanza mwaka mpya wa masomo 2023, kimejadili mambo mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Elimu kwa Mkoa wa Dodoma na kupanga mikakati ya kufanya vizuri kwa mwaka huu mpya.

Mkuu wa Mkoa amebainisha mambo kadhaa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameboresha kwa kiasi kikubwa kwenye sekta ya elimu.

“Rais amefanya mambo mengi kuboresha sekta ya elimu kama vile kuondoa ada kuanzia shule za awali mpaka kidato cha sita, ujenzi wa madarasa ya kutosha kupokea idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha kwanza ambapo kwa awamu ya kwanza ya fedha za Uviko – 19 mwaka 2021 Mkoa wa Dodoma ulipata fedha za kujenga madarasa 776 na kwa mwaka huu tumepatiwa fedha shilingi Bilioni 15.6 kujenga madarasa 339. Pia Rais ametoa ruzuku kwa shule kila mwezi shilingi Milioni 200” Amesema Mhe. Senyamule

Aidha, Mkuu wa Mkoa ametoa hamasa kwa walimu kufanya kazi kwa bidii kwani wao ndio wanaoweza kusaidia kuinua Mkoa katika kupata matokeo mazuri kwenye mitihani ya kitaifa

“Nasisitiza walimu ni kundi linaloweza kujenga nchi au kuibomoa. Nitoe rai kwa maafisa na walimu wakuu kusimamia uandikishwaji wanafunzi wa shule za awali na darasa la kwanza. Mpaka sasa wanafunzi walioandikishwa kwa shule za awali wamefikia 57,617 ambapo lengo ni kuandikisha wanafunzi takribani elfu 70 na kwa darasa la kwanza wameandikishwa wanafunzi 74,230 sawa na 82.4% wakati lengo ni kuandikisha wanafunzi 90,122 hivyo uandikishaji haujafikia lengo. Niwatake Halmashauri zote kufuatilia uandikishwaji ili tuweze kufikia asilimia 100 kwani Watoto bado wapo wengi amabo hawajaandikishwa” Amesisitiza Mhe. Senyamule

Pia amezungumzia suala la utoro na kuwataka viongozi wote wanaohusika na ufuatiliaji wa wanafunzi kuhakikisha wanafunzi wote watoro wanarudi shuleni.

“Hakikisheni wanafunzi wote wanawasili shuleni na tuwahimize wazazi na walezi kuwanunulia wanafunzi mahitaji ya muhimu. Takwimu za utoro kwa mwezi Oktoba mwaka jana zilikua wanafunzi 18,883 hivyo, nawataka walimu wakuu kuwasilisha ripoti ya utoro kwa watendaji wa Kata kila Ijumaa ya wiki. Watoro wote warudi shuleni na wakaririshwe, jambo hili walimu mulichukulie kwa uzito kwani tumedhamiria kupambana na utoro mwaka huu” Amesema Mhe. Senyamule.

About the author

Alex Sonna