Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WANACHUO WAASWA KULINDA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba (kulia) akishiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) leo Januari 07, 2023. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Afya Mazingira Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Paul Mageni.

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba akizungumza na wanafunzi kutokaJumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wakati wa zoezi la usafi wa mazingira katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo Januari 07, 2023.

Sehemu ya wanafunzi kutoka Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wakishiriki zoezi la usafi wa mazingira katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo Januari 07, 2023.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

…………………………………

Wanafunzi wa vyuo nchini wametakiwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika utekezaji wa shughuli mbalimbali za kuhifadhi na kulinda mazingira ili kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba wakati akishiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) leo Januari 07, 2023.

Dkt. Komba ambaye amemwakilisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama amesema kuwa zoezi hilo la usafi ni sehemu ya kuungano mkono utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021.

Amewapongeza wanafunzi hao wa vyuo kwa kuandaa zoezi hilo la usafi ikiwa ni katika kuunga mkono juhudi za Serikali za usafi na uhifadhi wa mazingira ambapo kuanzia Januari 10, 2023 inatarajia kupanda miti katika Jiji la Dodoma.

“Kama mnavyofahamu Serikali ilishautenga Mji wa Dodoma kuwa wa mfano katika masuala ya mazingira hivyo tunahakikisha tunapanda miti ya kutosha na nyie hapa leo mmeonesha mfano kwa kufanya usafi hospitalini hapa,” amesema Dkt. Komba.

Mkugenzi huyo ameongeza kuwa ni wakati muafaka kwa wanafunzi wa vyuo kuwarithisha wadogo zao njia za kutunza mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Afya Mazingira Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Paul Mageni amesema katika kuunga mkono Serikali wameanzisha bustani ya miti katika eneo la hospitali hiyo.

Aidha, Mageni amesema miti iliyopandwa mbali ya kuhifadhi mazingira lakini pia inawasaidia wananchi wanaopata huduma hospitalini hapo kupata hewa nzuri na matunda.

Kwa upande wao viongozi wa TAHLISO kutoka Tanzania Bara na Visiwani wametoa pongezi kwa uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma wa kuwapa wasaa wa kufanya usafi katika eneo hilo.

Pia wamewapongeza wanafunzi wa vyuo mbalimbali walioshiriki katika zoezi hilo ambalo ni njia mojawapo ya kuunga mkono Serikali katika kuhakikisha mazingira yanakuwa endelevu kwa mustakabali wa taifa.

About the author

Alex Sonna