Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

CCM SHINYANGA : HATUNA PRESHA , TUMEJIANDAA KWA MIKUTANO YA HADHARA

Written by Alex Sonna
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimempongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anazozifanya kwa Watanzania ikiwemo kupanua wigo wa Demokrasia Diplomasia huku kiviomba vyama vya Upinzani nchini kusema ukweli kuhusu maendeleo yaliyofanywa na serikali.
 
Pongezi hizo z imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga.
 
“Tunampongeza sana Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anazozifanya kwa Watanzania hasa kwenye suala la Demokrasia na Diplomasia kwa ujumla, hivi karibuni ametoa tamko la kuruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vyote vya siasa ikiwa ni moja ya tunda la maridhiano, jambo ambalo litaleta chachu ya Demokrasia na Ushindani wa kisiasa kwa hoja katika nchi yetu”.
 
“CCM Mkoa wa Shinyanga tunampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua wigo wa Demokrasia Tanzania, ameruhusu kufanyika kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani (Vyama Rafiki). Mikutano hii ya hadhara italeta chachu, twendeni tukashindane kwa hoja, sisi tumejipanga kwa mikutano, Moto umeshawashwa tutawapa ratiba ya mikutano, sisi tumejipambanua kwa Ilani yetu, hatuna Presha”.
 
“Siasa siyo uadui, siasa ni kujenga amani ya nchi. Vyama vya siasa vikifika kwenye maeneo waseme tu ukweli wa mambo makubwa yaliyofanywa na Serikali. Vyama Rafiki wakiri ukweli wa mambo makubwa yaliyofanywa na Serikali visifunike miwani ya mbao kwenye ukweli, waseme tu ukweli mambo makubwa yamefanyika”, amesema Mlolwa.
 
 
“Hili la vyama vya siasa visifanye mikutano kwamba tulikuwa na hofu gani, hata sisi CCM lilituathiri na CCM. Hii Pin ya kutofanya mikutano ilituhusu pia, sasa tupo tayari kwenda kufanya mikutano ya hadhara na hili ni agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kilichobaki sasa ni utekelezaji tu Sisi tuna Ilani ya Uchaguzi ya CCM tunayoisimamia kazi yetu ni kutekeleza tu”, ameongeza Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa wa Shinyanga.
 
 
Ameeleza kuwa, mbali na kupanua wigo wa Demokrasia, Pia Rais Samia amefanya mambo makubwa kwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu, afya, maji, miundombinu ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kisas itakayonufaisha pia wakazi wa Shinyanga na mambo kadha wa kadha.
 
“Tunampongeza Mhe. Rais Samia kwa mvua ya maendeleo mkoa wa Shinyanga. Mama Samia ni kiongozi na Rais wa mfano, ni mama mwenye huruma mwenye upendo mkubwa kwa Watanzania, amejenga shule za watoto wa kike waweze kusoma hata waliopewa ujauzito na kujifungua, ameleta tumaini kwa watoto wa kike Tanzania”,amesema.
 
 
“Miradi yote ya kimkakati inaendelea kwa kiwango cha hali ya juu. Pia tunampongeza Mhe. Rais Samia kwa miradi inayoendelea kujengwa nchi nzima. Hivi karibuni tumeona ujazaji wa maji katika bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere huko Rufiji. Pia tumeshuhudia ujenzi wa madarasa mbalimbali kwenye maeneo yenye uhitaji nchi nzima, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya,ujenzi wa barabara za rami,kutoa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita, kujali maslahi ya watumishi wa umma na mengine mengi”,ameongeza Mabala.

About the author

Alex Sonna