marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

betebet

Uncategorized

KATAMBI AAGIZA OSHA, KAMATI YA MAAFA KUSHIRIKIANA NA RED CROSS

Written by Alex Sonna
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi,akizungumza wakati akifungua  kongamano lililoandaliwa na  Red Cross  lenye lengo la kutoa elimu kuhusu afya ya akili lililofanyika leo Januari 7,2023 mjini Morogoro.
Rais wa Red Cross Tanzania David Kihenzile,akitoa taarifa wakati wa kongamano lililoandaliwa na  Red Cross  lenye lengo la kutoa elimu kuhusu afya ya akili lililofanyika leo Januari 7,2023 mjini Morogoro.
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kongamano lililoandaliwa na  Red Cross  lenye lengo la kutoa elimu kuhusu afya ya akili lililofanyika leo Januari 7,2023 mjini Morogoro.
……………………………………….
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi ameagiza  Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) na Kamati ya Maafa nchini, kushirikiana na Chama Cha  Msalaba Mwekundu Tanzania (TCRS) katika utekelezaji wa majukumu yao.
Mhe.Katambi amesisitiza kuwa Sheria ya Usimamizi wa Maafa  inautambua ushiriki wa Red Cross katika Menejimenti ya Maafa nchini, hivyo ameelekeza Kamati ya Maafa kuendelea kushirikiana  na Red Cross katika  shughuli za usimamizi wa Maafa nchini.
Mhe.Katambi ameyasema hayo  mjini  Morogoro leo Januari 7, 2023 alipofungua kongamano liloandaliwa na  Red Cross  lenye lengo la kutoa elimu kuhusu afya ya akili na fursa mbalimbali zinazopatikana kwa wadau ikiwemo SIDO, SUGECO na CASS – Track ili kuwasogeza vijana mbele kiuchumi.
Amesema sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003 na Kanuni zake zinaelekeza  maeneo ya kazi lazima yawe yanatoa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi, hivyo ushirikiano wa OSHA na Red Cross  utaimarisha Usalama na Afya mahali pa Kazi.
Aidha, ametoa rai kwa vijana wakiwamo wa Msalaba Mwekundu kutumia fursa ya mafunzo tarajali yanayotolewa na serikali kupitia Kitengo cha Huduma za Ajira (Taesa) kilichopo Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu ili kupunguza changamoto ya ukosefu wa uzoefu wa kazi.
Miongoni mwa mambo ambayo serikali imeyafanya Kwa vijana ni pamoja na  miradi 85 ya vijana imepata mikopo, vijana 96,567 wamenufaika na Program ya Kukuza Ujuzi nchini na wengine 554 wamepatiwa mafunzo maalum kuwawezesha kufanya kazi kwa ufanisi nje ya nchi.

About the author

Alex Sonna