Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA ZOEZI LA KUFUNGA NJIA YA KUCHEPUSHA MAJI NA KUANZA UJAZAJI MAJI KWENYE BWAWA LA JULIUS NYERERE (JNHPP) PWANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria Hatua ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere JNHPP kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili Rufiji mkoani Pwani tarehe 22 Desemba, 2022 kwa ajili ya kushiriki katika Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais  Mstaafu wa Awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Maharage Chande kuhusiana na Kituo cha kusafirishia umeme (Switchyard) katika Mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji Mkoani Pwani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Maharage Chande kuhusiana na jengo la Mitambo (Power House) kwenye Mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere JNHPP katika Mto Rufiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Maharage Chande kuhusiana na mahandaki ya kupitishia maji (Power water ways) kwenye Mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme (Megawati 2115)   la Julius Nyerere JNHPP katika Mto Rufiji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria Hatua ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere JNHPP kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wananchi wa Mikoa ya Pwani na Morogoro kabla ya kuzindua Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115)   la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani

Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wakishuhudia Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapatia tuzo Marais Wastaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi pamoja na Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete kutokana na mchango wao katika ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaonesha Marais Wastaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi pamoja na Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson na Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba  Njia ya kuchepusha Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115)   la Julius Nyerere JNHPP kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani

About the author

mzalendoeditor