Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YAKABIDHI VISHIKWAMBI 6600 KWA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt,Francis Michael (kulia) akimkabidhi vishikwambi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Khamis Abdulla Said  katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt,Francis Michael (kulia) akimkabidhi vishikwambi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Khamis Abdulla Said   katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt,Francis Michael akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt,Francis Michael (katikati) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Khamis Abdulla Said  akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakifuatilia hafla ya makabidhiano ya vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Desemba 22,2022 Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*****************

EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi Vishikwambi 6600 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili kuwagawia walimu wa Shule za msingi na Sekondari ili kusaidia kuwarahisishia katika kufundisha.

Akizungumza leo Desemba 22, 2022 Jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya Makabidhiano hayo Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt,Francis Michael amesema kuwa vishikwambi hivyo ni kati ya vile laki tatu vilivyotumika wakati wa sensa ya watu na Makazi ya mwaka huu ambapo baada ya kazi hiyo Serikali iliamua kuvigawa kwa walimu ili kuwasaidia katika ufanyaji wa kazi.

Amesema Vishikwambi 6600 vitapelekwa Zanzibar huku 2093 vilishagaiwa Tanzania bara tokea Novemba 4,2022 ambapo Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa alikuwa mggeni rasmi kwenye uzinduzi wa ugawaji wa vishikwambi hivyo.

“Vishikwambi hivi ni mali ya walimu na ni matarajio vitakuwa chachu katika kuboresha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji ili kuinua ubora wa elimu hapa nchini na Visiwani”. Amesema Dkt.Michael.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Khamis Abdulla Said  ameahidi kufuata maelekezo ya Waziri Mkuu na havitakwenda kukaa stoo na badala yake wataenda kuvigawa kwa wahusika ambao ni walimu.

Aidha amesema kuwa kupokea kwa vishikwambi hivyo ni kama changamoto ya mabadiliko ya kwenda kwenye TTEHAMA hivyo walimu wa Zanzibar wawe tayari kuvitumia ipasavyo.

Hata hivyo amemshukuru Rais wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono sekta ya elimu.

About the author

Alex Sonna