Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM DODOMA 2 years agoby mzalendoeditor4 Views Written by mzalendoeditor Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn