Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAHITIMU CHUO KIKUU CHA ST.JOHN’S WATAKIWA KUITUMIKIA JAMII KWA UAMINIFU

Written by Alex Sonna

MAANDAMANO wakati wa Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu cha St.John’s Tanzania yaliyofanyika jijini Dodoma ambapo  wahitimu 965 walitunukiwa vyeti vya ngazi mbalimbali ya elimu na Mkuu wa Chuo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donald Mtetemela.

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha St.John’s Tanzania, Prof.Yohana Msanjila,akizungumza wakati wa Mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika jijini Dodoma ambapo  wahitimu 965 walitunukiwa vyeti vya ngazi mbalimbali ya elimu na Mkuu wa Chuo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donald Mtetemela.

MWENYEKITI wa Baraza la Chuo  Kikuu cha St.John’s Tanzania,Prof.Penina Mlama,,akizungumza wakati wa Mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika jijini Dodoma.

Baadhi ya wahitimu wa kada mbalimbali wakiwa katika hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo  Kikuu cha St.John’s Tanzania, yaliyofanyika chuoni hapo, jijini Dodoma.

Mhitimu Emanuel Kombe,akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake  katika hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo  Kikuu cha St.John’s Tanzania, yaliyofanyika chuoni hapo, jijini Dodoma.

…………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha St.John’s Tanzania,wametakiwa kutumia ujuzi na maarifa  waliyoyapata kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi pekee ili kujikwamua kimaisha.

Hayo yamesema Mwisho Mwa wiki Jijini Dodoma  na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof.Yohana Msanjila,kwenye mahafali ya 13 ya chuo hicho ambayo wahitimu 965 wametunukiwa vyeti vya ngazi mbalimbali ya elimu na Mkuu wa Chuo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donald Mtetemela.

Prof.Msanjila aliwataka wahitimu hao kuitumikia jamii kwa uaminifu kama sehemu ya programu zao za mafunzo walizofundishwa kwa kuzifanyia upembuzi yakinifu,ili kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii na kuleta mabadiliko chanya.

“Muwe mabalozi wazuri wa chuo chetu huko muendako kumbukeni kwamba popote muendako mmebeba nembo na kauli mbiu ya chuo kwenda kutumika kwa weledi na uaminifu mkubwa,mtumie maarifa mliyopata kujiajiri na kuajiriwa,”alisema Prof.Msanjila

Aidha Prof.Msanjila alisema kuwa elimu waliyoipata itakuwa na thamani kubwa endapo itaendana na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika kuleta suluhisho la kero zinazoikabili nchi.

Alisema chuo hicho kimeendelea na uboreshaji wa mitaala ikiwa ni pamoja na kuongeza kozi mpya ambazo mbili zinasubili kibali kutoka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kabla ya kuanza kutumika.

“Chuo kinakusudia kuanzisha kozi fupi kwenye maeneo mbalimbali ikiwamo huduma kwa wateja, ujasiriamali na utafutaji wa masoko ya bidhaa, zitatolewa kwa watumishi wa serikali, sekta binafsi, asasi za kiraia, na watu binafsi watakaopenda,”alisema.

Alimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa utendaji kwake ambao chuo kina imani naye sambamba na uwekezaji unaofanyika na uimarishaji wa diplomasia ya kiuchumi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Prof.Penina Mlama, alisema taasisi za vyuo vikuu huandaa watalaamu mbalimbali ikiwamo afya, kilimo, biashara, uhandisi na kupitia hao nchi inapata mafanikio kadhaa.

“Sisi ni wadau muhimu wa elimu, mchango wa wahadhiri umesaidia kuboresha hali za watanzania popote nchini kupitia kazi zenu mmefungua fursa nyingi kwa wadau, naomba muendelee na juhudi hizi ili nchi yetu iendelee kupaa kielimu na kiuchumi,”alisema.

Naye Mhitimu Emanuel Kombe, aliwaomba wahitimu kutumia elimu na maarifa waliyoyapata kujikwamua kiuchumi kutokana na nchi kukabiliwa na tatizo la ajira.

About the author

Alex Sonna