Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wizara Mtambuka kuhusu nishati safi ya kupikia kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 25, 2022. Kulia wake ni Waziri wa Nishati, January Makamba na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleWATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTUNZA SIRI ZA SERIKALI
Next articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 26,2022

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here