Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kufungua kongamano la nane (8) la Chamacha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga,(wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) alipofika Hotel ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi leo kufungua kongamano linalohusu maradhi ya Figo.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui wakati akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) alipofika Hotel ya verde Mtoni leo kufungua kongamano la nane (8) linalohusu maradhi ya Figo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipofuatana na Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga (katikati) na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kushoto) mara alipowasili katika Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi kufungua kongamano la nane la Chama hicho lililofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam Augustino Mbunda (kushoto) alipokuwa akiangalia vifaa mbali mbali vinavyotumika katika kutibu matatizo ya Figo mara alipowasili katika Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi kufungua kongamano la nane la Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiangalia mashine maalum inayofanya uchunguzi wa matatizo ya magonjwa ya Figo kabla ya kufungua kongamano la nane la Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofanyika leo Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi (kushoto) Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Taasisi ya Generics ya Dar es Salaam inayojishuhulisha na uuzaji wa dawa za figo Bw.Hirak Kumar Sen (katikati) alipotembelea mabanda ya maonesho ya taasisi mbali mbali zinazohusika na uuzaji wa dawa za maradhi hayo kabla kufungua kongamano la nane la Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofanyika leo.
Baadhi ya Wataalam wanaoshuhulika na maradhi ya Figo wakiwa katika kongamano la nane (8) la Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga alipokuwa akitoa maelezo ya kina kuhusu Chama chake mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kongamano la nane la Chama hicho lililofanyika leo Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kufungua kongamano la nane (8) la Chamacha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) lililofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga,(wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam wa magonjwa ya Figo Tanzania (NESOT) Dr.Onesmo Kisanga katika hafla ya ufunguzi Kongamano la nane (8) la Chama hicho lililofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni,Mkoa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu