Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

MAKAMISHNA TUME YA WATUMISHI WA UMMA WAFANYA ZIARA WILAYANI BAHI

Written by Alex Sonna

 

MWENYEKITI wa Tume ya Watumishi wa Umma Jaji Mstaafu Hamisa Kalombola,akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw.Athuman Masasi,wakati wa ziara ya Makamishna kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma.

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw.Athuman Masasi,akitoa taarifa ya miradi inayofanywa na halmashauri hiyo wakati wa ziara ya Makamishna ya  kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika.

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma Balozi Adadi Rajabu,akiwasisitiza jambo watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Bahi wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma waliofanya ziara  katika Wilaya hiyo.

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw.Athuman Masasi,akiwaeleza jambo Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma waliofanya ziara ya kutembelea Miradi inayotekelezwa pamoja na Kujifunza na kuona namna Mashine za Kieletroniki za Ukusanyaji Mapato (POS) zinavyotumika na Mikakati iliyopo katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vyao.

MWENYEKITI wa Tume ya Watumishi wa Umma Jaji Mstaafu Hamisa Kalombola,akiwa na wajumbe wakiangalia namna Mashine za Kieletroniki za Ukusanyaji Mapato (POS) zinavyotumika katika Stendi ya Bahi wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume hiyo katika Halmashauri ya Bahi.

MWENYEKITI wa Tume ya Watumishi wa Umma Jaji Mstaafu Hamisa Kalombola,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Kujifunza na kuona namna Mashine za Kieletroniki za Ukusanyaji Mapato (POS) zinavyotumika katika Stendi ya Bahi wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma.

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw.Athuman Masasi,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa Makamishna wa Tume ya Watumishi wa Umma walipofanya ziara ya katika Halmashauri ya Bahi kutembelea na Kujifunza na kuona namna Mashine za Kieletroniki za Ukusanyaji Mapato (POS) zinavyotumika katika Vituo vyao.

KAMISHNA wa Tume ya Utumishi wa Umma Balozi Adadi Rajabu,akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Makamishna wa Tume ya Watumishi wa Umma walipofanya ziara katika Halmshauri ya Wilaya ya Bahi.

…………………………………….

Na.Alex Sonna-BAHI

TUME ya Watumishi wa Umma imewakumbusha watendaji nchini kuwa waaminifu katika utendaji kazi hasa katika suala la kutumia Mashine za kielektroniki za Ukusanyaji Mapato   ili kuepukana na changamoto za upotevu wa Mapato ya Serikali .

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisa Kalombola,wakati wa ziara ya Makamishna ya kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma ambapo amesema changaomoto hizo za upotevu wa mapoto umepelekea kufukuzwa kazi kwa baadhi ya watumishi wa umma.

Jaji Mstaafu Kalombola amesema kuwa  mtumishi wa umma ni lazima aweke mbele  maslahi ya nchi kwamba hizi fedha wanazokusanya siziwe kwa matumizi binafsi ni kwa matumizi ya nchi nzima.

 “Tumekuwa tukipambana na hali hiyo kwani kuna mashine ambazo zinatumika sasa kumekuwa na kasoro tumekuja kuzigundua.

“Unakuta wamefikishwa kwenye mamlaka ya nidhamu kutokana na kasoro ambazo zingeweza kuzuilika  na hii  inatokana  na makusanyo yanakusanywa.

“Halafu fedha zinabakia kwa mkusanyaji wengine siku tatu mpaka nne kama binadamu wanajikuta wanaingia katika matatizo

“Kwa sababu anaingia katika vishawishi kwa kujisahau kwamba fedha hizo ni za Serikali na ni mali ya Serikali na inazitumia kwa maendelea,”amesema Jaji Mstaafu Kalombola

Amesema kuwa wamekuja katika Halmashauri ya Bahi kuwasisitizia watumishi kuhusu  matumizi ya fedha za serikali yanaweza kuwapeleka katika shida.

“Tumekuja kusisitiza kuja kuhimiza cha msingi ni kuwa mwaminifu na huu ni wito kwa ajili ya wakusanya mapato wote Tanzania nzima,”amesema.

Aidha amezikumbusha Halmashauri pale ambapo mtumishi amefanya kosa basi taratibu sheria na kanuni ni lazima zifuate

“Nasisitiza taasisi na halmashauri wanapomshughulikia mtumishi inatakiwa wafuate taratibu na kanuni.Na inatakiwa ifanywe hivyo hata sisi tusibaki kuwa na majalada mengi ambayo yalikuwa hayana haja ya kufika kwetu.

“Waajiri wazingatie hizo taratibu  kanuni na sheria na watumishi wafanye kazi sio kwa mazoea wafanye kwa kufuata taratibu na kanuni,”amesema

Kwa upande wake,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw.Athuman Masasi amesema wanaendelea na ukusanyaji wa mapato na kazi yao kubwa ni kuhakikisha wanathibiti mianya yote ya utoroshaji wa mapato hayo.

“Kwa mfano ukusanyaji wa mapato kwa kutumia mashine unahitaji uaminifu na uadilifu mtu anaweza asikate kama ambavyo amepaswa kukata.

“Na akakosa uaminifu kazi yetu kubwa tunafanya ukaguzi  mara tunapokutana na watu wa namna hiyo hana risiti sahihi sisi tunapiga faini lakini huyu ambaye hakukata risiti nae tunaweka utaratibu wa kuwachukulia hatua,”amesema Bw.Masasi

Masasi amesema wanaishukuru Serikali kwa kufanya jitihada za kuhakikisha kunakuwa na mifumo ya ukusanyaji mapato.

“Jukumu letu sio kulala  na kusubiri mtu akusanye pia ni na kwenda kumfuatilia huko huko,”amesema

Naye Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma Balozi Adadi Rajabu amesema kumekuwa na rufaa  nyingi ambazo watumishi wamefukuzwa kutokana na mfumo wa POS  Mashine.

“Sisi kama Tume tumeona ngoja tungalie hili tatizo na Tamisemi wamegundua hilo lakini wanakuja na mfumo mwingine wa Tausi utatatua haya matatizo ambayo yameonekana,”amesema Balozi Rajabu

Katika Ziara hiyo wamezungumza na watumishi pamoja na kutembelea  Miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Bahi na kuwatembelea Watendaji wa Vijiji kwa lengo la Kujifunza na kuona namna Mashine za Kieletroniki za Ukusanyaji Mapato (POS) zinavyotumika na Mikakati iliyopo katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vyao.

About the author

Alex Sonna