Featured Kitaifa Uncategorized

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR .\

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Misawa Yasushi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9-11-2022 na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Bi.Eri Ogawa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2022,na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi wa Japan Tanzania Bi.Eri Ogawa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe.Misawa Yasushi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-11-2022, alipofika kujitambulisha.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe.Misawa Yasushi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-11-2022, alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

 

About the author

mzalendoeditor