Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KIRUSWA ATAKA WACHIMBAJI KUJIFUNZA NZEGA

Written by Alex Sonna

Na Asteria Muhozya – NZEGA

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya Nzega kutokana na uthubutu walioufanya kuanzisha maabara za kisasa za kupima mchanga wa madini kabla ya kuchenjuliwa ikiwemo kuanzisha viwanda vya kuchenjua dhahabu.

Dkt. Kiruswa ameyasema hayo kwa nyakati tofauti katika ziara yake Wilayani Nzega ambapo ametembelea Kiwanda cha Kati cha Kuchenjua Dhahabu cha Savanna Reef kinachomilikiwa na Mtanzania Pirbaksh Rasulbaksh na Kampuni ya Kasala Gold Mine yenye kiwanda cha kuchenjua dhahabu inayomilikiwa na Mtanzania Daudi Mwita, huku kampuni zote zikiwa zimeanzisha maabara za kupima mchanga wa madini kupata usahihi wa viwango vya dhahabu kabla ya kuchenjuliwa.

Hatua ya kuanzishwa kwa maabara hizo inafuatia malalamiko ya kuibiwa kaboni kwenye viwanda cha kuchenjua dhahabu kutoka kwa wachimbaji, hivyo ofisi ya Madini mkoani humo ikaweka utaratibu wa kuhakikisha mchanga wa dhahabu unapimwa maabara kabla ya kuchenjuliwa.

 Akizungumza katika kiwanda cha Savanna Reef, Naibu Waziri amesema tayari kiwanda hicho kimenunua mtambo wa kuchoronga miamba na kipo katika mpango wa kuanzisha mgodi wa uchimbaji madini. Kufuatia hali hiyo, amewataka wachimbaji wengine kujifunza kiwandani hapo kuhusu namna bora ya utunzaji wa mazingira, uchenjuaji wa kisasa na namna ya kuanzisha migodi.

‘’ Nimeona, alichokifanya ni kikubwa na amefika katika hatua kubwa. Kama Serikali niko hapa kuwapa moyo wanaofanya vizuri, ninawapongeza mkoa wa Tabora kwa maendeleo haya na ninapenda kuwaona wengine wakijifunza kupitia hapa,’’.

Aidha, amemtaka mwekezaji wa Savvana Reef kuwasiliana na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora kwa ajili ya kupatiwa utaratibu wa kushughulikia masuala yanayohusu  wajibu wa kampuni kwa jamii.  Pamoja na hayo, awali, mwekezaji huyo amemwomba Naibu Waziri kuifikiria kampuni hiyo kwa kuipatia eneo linalomilikiwa na Serikali kwa ajili ya kuchimba madini . Akijibu ombi hilo, Naibu Waziri amemweleza mwekezaji huyo kuwasilisha maombi kwa njia ya maandishi.

Pia, Naibu Waziri Dkt. Biteko amempongeza Daudi Mwita kwa kuanzisha maabara hiyo na kuwataka wachimbaji kuitumia kupima madini yao kabla ya kuchenjuliwa  na kutoa wito kwa mikoa jirani kuitumia maabara hiyo.

Amesema Dira ya Wizara ni kukuza uchimbaji mdogo, hivyo kutokana na uthubutu uliooneshwa na watanzania hao ni dhahiri kuwa kupitia dira hiyo itasaidia kuwakuza wachimbaji wengine.

Katika hatua nyingine, Chama Cha Wachimbaji wa Madini Mkoa wa Tabora (TABOREMA) kimeikumbusha Wizara kuhusu ombi la kuanzishwa kwa  Benki ya Madini lililotolewa  na Shirikisho la Vyama Vya Wachimbaji wa  Madini Tanzania (FEMATA) wakati wa Mkutano wa Nne (4) Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini uliofanyika mwezi Februari, 2022.

Akiwasilisha taarifa kwa niaba ya Chama hicho kwa Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven, Joseph Mabondo amesema licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na Wizara za kuwaunganisha  wachimbaji na Taasisi za Fedha, bado baadhi ya benki zinasita kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo hivyo uwepo wa benki hiyo utawasaidia wachimbaji kupata mikopo ambayo watarejesha kwa utaratibu.

Aidha, katika ziara hiyo, wachimbaji  wamemwomba Naibu Waziri kusaidia tatizo la ukosefu wa nishati ya umeme katika maeneo ya migodi ikiwemo miundombinu ya barabara na kueleza kuwa, ukosefu wa umeme unasababisha gharama za uendeshaji kuwa kubwa na hivyo kupelekea kupungua kwa uzalishaji.

Kwa upande wake, Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora Mayingi Makolobela licha ya kupongeza ushirikiano anaopatiwa na wadau wa madini mkoani humo, amezuia kuwepo kwa watoto wadogo katika maeneo yenye shughuli za migodi badala yake ametaka watoto hao kupatiwa haki yao ya msingi ya kuwa shuleni kipindi wazazi wanapofanya shughuli zao za madini.

Pia, amesisitiza kwa mdau yoyote anayehitaji kupata taarifa zinazohusu biashara ya madini kufika katika Ofisi hiyo kwa ajili ya kupatiwa taratibu badala ya kufanya shughuli zao kinyume na taratibu zilizowekwa.

Awali, kabla ya kuanza ziara hiyo, Naibu Waziri Dkt. Kiruswa amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Nzega Kamishna Msaidizi wa Polisi Advera Buhimba ambapo amemweleza malengo ya ziara hiyo. Pia, Dkt.Kiruswa amekutana na wafanyabiashara wa Madini katika Soko la Madini Nzega ambapo wamewasilisha changamoto zao.

About the author

Alex Sonna