Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

Meritking

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat giriş

sekabet güncel giriş

grandpashabet

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA AIGEUKIA JAMII KUTAFUTA MFUMO BORA KUSAIDIA WATOTO WANAOOMBA MITAANI

Written by Alex Sonna

Na WMJJWM, Dodoma

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima ameitaka jamii kujadili mfumo mzuri wa kuwasaidia watoto wanaoomba mitaani ili misaada hiyo iweze kupelekea watoto hao kutimiza ndoto zao.

Mhe. Gwajima ametoa wito huo alipofanya ziara ya kukusanya maoni ya wananchi katika soko Kuu la Majengo Jijini Dodoma tarehe 28 Septemba, 2022 kuhusu kutumia utaratibu wenye tija wa kuwasaidia watoto hao.

Amesema watoto wanaoomba mitaani hususani kwenye mikusanyiko kama stendi za mabasi, sokoni na barabarani wanatokana na sababu nyingi na imebainika kuwa wako watoto wengi ambao ni matokeo ya kutumikishwa yaani nyuma yao kuna watu wananufaika.

“Kati ya watoto mnaowasaidia wako waliotumwa kufanya kazi hiyo na kuwasilisha hesabu hiyo kwa watu wazima wanaowatumikisha” amesisitiza Waziri Dkt. Gwajima.

Mhe. Dkt. Gwajima ameongeza kuwa, Serikali peke yake haitaweza kutatua tatizo hilo bila kuelimisha jamii undani wa watoto wanaoomba mitaani na tija ya misaada ambayo jamii inatoa.

Vilevile, amehimiza wananchi kushirikiana na Serikali kuweka mfumo mzuri wa kuwasaidia watoto waliothibitika kuwa na uhitaji ili wanufaike mathalani, kuwapeleka kwenye vituo rasmi vya kutunza na kuendeleza watoto, hali itakayochangia jamii kuachana na kusaidia watoto barabarani badala yake kuelekeza misaada hiyo kwenye vituo hivyo.

Aidha, mfumo huo utafanya watoto kuacha kukimbilia barabarani kwa sababu hakuna misaada tena na badala yake wenye uhitaji wataamua kuripoti kwenye vituo rasmi ambako watafanyiwa tathmini na kuwekewa mpango mzuri wa kusaidiwa na kuendelezwa.

“Mahitaji ya Mtoto ni pamoja na kulala mahala salama, Afya njema, asome shule, aepukane na ukatili wa kubakwa, madawa ya kulevya na adha zingine kama hizo hivyo, kuwasaidia wakiwa mtaani kama ombaomba huenda ukawa siyo utaratibu wenye tija kwa kesho njema ya mtoto kwani huenda wanaonufaika ni wanaomtumikisha na wanaotoa misaada nao hawafahamu ” amesema Dkt. Gwajima.

” Pia kuna kila sababu ya jamii tutafakari mfumo mzuri wa kusaidiana wakati haki nyingine za watoto pia zikizingatiwa” amesema Dkt. Gwajima.

Kwa upande wao baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma walioshiriki mkutano huo wamepongeza jitihada hizo za Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum huku wakisema sasa huu ndiyo utakuwa muarobaini wa kuhakikisha changamoto za kutumikisha watoto mitaani zinaisha.

“Nakubaliana vitengenezwe vituo kama mtu anataka kusaidia aende kwenye kituo, siyo kuomba, jamii tusaidiane. Kuna watu wengine walemavu wanaweza kufanya kazi au Biashara na kupata faida kuwe na utaratibu mzuri wa kuwasaidia Hawa wapate kazi zitakazowasaidia kujikwamua kiuchumi” amesema mfanyabiashara Dida Zungu.

Naye Godson Rugazana mkazi wa Majengo jijini Dodoma amesema wito wa Waziri Dkt Gwajima ni mzuri hasa kwa wale kuhusu kupunguza tatizo la Ombaomba na Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani ambao hawana mahali pa kutegemea vijengwe vituo mahali kadhaa ambapo Jamii inakuwa rahisi kuwasaidia.

About the author

Alex Sonna