Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Msumbiji ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha FRELIMO Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati akisalimiana na Wananchama pamoja na kujionea shughuli mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Kongamano la 12 la Chama hicho Tawala, Maputo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Msumbiji ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha FRELIMO Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati akisalimiana na Wananchama pamoja na kujionea shughuli mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Kongamano la 12 la Chama hicho Tawala, Maputo tarehe 23 Septemba, 2022.

Viongozi mbalimbali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye Kongamano la 12 la Chama Tawala nchini Msumbiji cha FRELIMO lililofanyika Maputo tarehe 23 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Kongamano la 12 la Chama Tawala cha Msumbiji FRELIMO lililofanyika Maputo nchini Msumbiji tarehe 23 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wanachama wa Chama cha Siasa cha Mozambican Liberation Front (FRELIMO) pamoja na viongozi mbalimbali walioalikwa kushiriki Kongamano la 12 la Chama hicho Tawala, Maputo nchini Msumbiji tarehe 23 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wanachama wa Chama cha Siasa cha Mozambican Liberation Front (FRELIMO) pamoja na viongozi mbalimbali walioalikwa kushiriki Kongamano la 12 la Chama hicho Tawala, Maputo nchini Msumbiji tarehe 23 Septemba, 2022.

Viongozi mbalimbali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye Kongamano la 12 la Chama Tawala nchini Msumbiji cha FRELIMO lililofanyika Maputo tarehe 23 Septemba, 2022.

Previous articleTBS YAWAPA NENO WAKANDARASI JIJINI DODOMA
Next articleMAJALIWA AZINDUA MWONGOZO WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA USTAWI WA JAMII

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here