Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATEMBELEA OFISI ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MAPUTO NCHINI MSUMBIJI,AKABIDHIWA UFUNGUO KAMA ISHARA YA MKAZI WA MANISPAA HIYO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Manispaa hiyo nchini Msumbiji 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche katika ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Maputo nchini Msumbiji kabla ya kuhutubia Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa funguo pamoja na nyaraka nyingine kama ishara ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji

Viongozi mbalimbali wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyokuwa akiitoa kwenye ofisi za Manispaa ya Maputo nchini Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea funguo pamoja na nyaraka nyingine kutoka kwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche kama ishara ya kuwa na haki ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Ofisi hizo nchini Msumbiji 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche mara baada ya kutembelea ofisi hizo nchini Msumbiji 

About the author

mzalendoeditor